Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
TAFUTA MWONGOZO NA URIPOTI HOJA

Unahimizwa kutafuta mwongozo.

Kanuni hii haiwezi kutoa majibu yaliyo na maelezo kwa maswali yote. Kwa hivyo mwishoe lazima

tutegemee ujuzi na kuelewa kwa kila mmoja kwa yale yanayopaswa kufuatwa kwa viwango vya juu vya

Kampuni, ikiwa pamoja na hisia za wakati unaofaa kutafuta mwongozo unaofaa wa tabia.

Wakati mwingi, unapaswa kuleta maswali kuhusu mwongozo yaliyoelezwa katika kanuni kwa

kumfahamisha moja kwa moja meneja au Shirika la Kisheria Duniani, ambaye anaweza kuelekeza

maswala hayo kwa wakubwa wake, wakili mwingine katika Shirika la Kisheria Duniani, Idara ya

Maadili na Makubaliano Duniani, au idara ya Kuajiri Wafanyakazi katika kitengo fulani. Unaweza pia

kuwasiliana na viwango vya juu vya usimamizi ama Idara ya Uadilifu na Makubaliano wewe mwenyewe

– moja kwa moja ama kupitia kitengo cha haraka cha Kanuni ya Maadili Mema ya Colgate-Palmolive

(iliyojulikana awali kama mawasiliano ya moja kwa moja), kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Lazima uripoti ukiukaji unaoshuku.

Ikiwa unajua ama una sababu nzuri ya kushuku ukiukaji wa Kanuni ya maadili mema ama mwongozo

wowote wa kampuni, unapaswa kuripoti mara moja kwa meneja wako au Shirika la Kisheria Duniani.

Kwa njia nyingine, unapaswa kusikia huru kuenda kwa kiwango cha juu cha usimamizi ama kwa Idara ya

Uadilifu na Makubalianao bila woga wa kuulizwa maswali. Colgate haitalipiza kisasi dhidi ya mtu yoyote

atakayeripoti habari kuhusu ukiukaji kwa nia njema, ama mtu anayehusika katika uchunguzi wowote, ama

kesi inayoendeshwa na Kampuni ama Serikali, isipokuwa kama habari hizo zimepatikana kuwa za uwongo

na maksudi ya kudanganya. Kampuni itachukua hatua zote kuficha kitambulisho cha mtu na habari ya siri

ambayo ametoa na itafichuliwa kwa msingi wa kutaka kujua wakati huo ufichuzi ni:

• Hauwezekani kuepuka ili kufanya uchunguzi mzuri na kuchukua hatua inayofaa

• Au vinginevyo kunahitajika na sheria zinazohusika.

Unaweza kuwasiliana na KITENGO CHA Maadili na Makubaliano Duniani ya

Colgate-Palmolive.

Lengo la Kitengo cha Maadili ya Colgate-Palmolive ni:

• Kuwapa watu wa Colgate ushauri na kuwasaidia kufafanua jinsi Kanuni ya Maadili mema inaweza

kutumika kwa hali fulani.

• Kuwapa watu njia nyingine ya mawasiliano ili watu walete habari kuhusu ukiukaji wa sheria, ama

shughuli zinazozozana na Kanuni ya Maadili ya Kampuni.

Huenda ukawasiliana na Maadili na Makubaliano Duniani kupitia Kitengo chetu cha Maadili ya Colgate-Palmolive masaa 24

katika 1-800-778-6080 (Marekani Kaskazini) au 1-212-310-2330 (simu ambayo mpokeaji anailipia kutoka maeneo yote

nje ya Mareka Kaskazini).

Unaweza pia kuwasiliana na Maadili na Makubaliano Duniani kupitia barua-pepe ya kawaida au faksi. Anwani ya kutuma ni:

Global Ethics and Compliance

Colgate-Palmolive Company

300 Park Avenue, 8th Floor

New York, NY 10022

Anwani ya siri ya barua pepe ni: ethics@colpal.com. Namba ya simu ya faksi ya siri ni: 1-212-310-3745.

28 Kanuni ya Maadili Mema