22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

UHUSIANO WETU NA

MASHIRIKA YA NJE YA BIASHARA

Kila mmoja wetu anawajibika jinsi vile tutakavyoonekana kwa wagawaji na wateja. Ni

muhimu kwamba tudumishe sifa yetu ya uaminifu na ukweli tunapofanya biashara na

makundi hayo.

Tunawashughulikia wateja na wauzaji kwa uadilifu.

Lengo letu katika kufanya shughuli za biashara ni kuhakikisha vyanzo vinavyoaminika. Ni muhimu

kuwa na uaminifu unaposhughulika na wateja kwa uhusiano mzuri wa kudumu. Kwa hivyo, tunatazama

wagawaji wetu kama washirika wetu na tunatarajia wapate faida ya maana. Tunawapa wagawaji wetu

watarajiwa upendeleo sawa na unaofaa. Uamuzi unafanywa kwa kigezo cha madhumuni kama vile bei

na ubora pia uaminifu na uadilifu wa muuzaji. Kutoa ama kupata kiinikizo, mlungula au malipo kama

hayo hairuhusiwi.

Hatutoi mapendeleo ya kibinafsi kwa wateja, posho la cheo, usaidizi wa kuuza, ama hali kama hiyo;

tunashughulikia wateja wetu wote kwa msingi wa biashara ulio sawa. Shughuli za wateja na wauzaji

zinajadiliwa katika sehemu ya Kanuni hii namajukumu yeto yako chini ya sheria ya ushindani/

kutokiritimba.

Kanuni ya Maadili Mema ya Watoa huduma kwa Colgate inapatikana kwa lugha kadhaa kwenye tovuti ya

Kampuni chini ya sehemu ya "Fanya Kazi na Sisi" ya Watoa Huduma.

Hatutoi zawadi ama kupokea zawadi zisizofaa.

Haikubaliwi kutoa au kupokea zawadi, malipo au faida zingine za kibinafsi ili kushawishi, au ambazo

zinaweza kuonekana kushawishi uamuzi wowote wa biashara. Kama unakusudia kutoa au kupokea

zawadi, malipo au faida zingine ambazo ni zaidi ya thamani ya ($50 USD), lazima uwasiliane na Shirika

la Kisheria Duniani au Maadili na Makubaliano Duniani kwa idhini kabla ya kufanya hivyo. Pia, zingatia

kwamba huenda ukakubali zawadi tu ya thamani ya kifedha kutoka kwa chanzo kimoja mara moja kwa

kila kalenda ya mwaka. Kama kitakuwa kidendo cha aibu Kampuni kutokubali zawadi fulani ambayo

inaweza kuzidi thamani ya kifedha rasmi, basi kukubali kwako zawadi hiyo kunapaswa kuripotiwa kwa

Shirika la Kisheria Duniani ambalo litakusaidia kubainisha hatua inayofaa. Kwa kuongezea, usipange

au usipokee zawadi, au faida zingine ambazo ni zaidi ya kifedha rasmi kwa dhamani kwa niaba ya

mjumbe wa karibu wa familia kutoka kwa mtu yeyote ambaye Kampuni ina uhusiano naye wa biashara

unaoendelea au angependa kuanzisha uhusiano wa kibiashara. Fuata sheria hii: usikubali kamwe zawadi

au huduma kama itakudhoofisha au itaonekana kukudhoofisha. Hii haijumuishi burudani ya mara kwa

ara ya biashara, ambayo inaweza kurudishwa , au zawadi ya thamani rasmi pekee.

Unafaa uwe makini kwamba kuna sheria maalumu zinazo ongonza tabia inayofaa kwa shughuli za

serikali, serikali ya mtaa ama serikali ya nje ambayo haikubaliani na sheria za shughuli za kampuni zisizo

za serikali. Kwa ujumla, unaweza kukosa kutoa ama kupeana zawadi kwa wafanyakazi wa serikali yo

yote, kiinua mgongo ama kitu cho chote cha thamani, kama lishe ama safari ila tu kama imeshapitishwa

na Shirika la Kisheria Duniani.

Kampuni ya Colgate-palmolive 15

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!