Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
• Nafasi sawa kwa waajiriwa wote katika viwango vyote bila kujali umbari, dini, jinsia, kitambulisho

cha jinsia, asili ya kitaifa, jamii, umri, mwelekeo wa jinsia, ulemavu, hadhi ya ndoa, hali ya uzee au

tabia yoyote nyingine inayolindwa na sheria katika sheria au mashari yoyote yale ya ajira;

• mahali pa kazi penye usalama unaolinda afya na mazingira;

• kulipa wafanyakazi malipo ambayo yatawawezesha kufikia mahitaji ya muhimu, na kuwapa wafanya

kazi fursa ya kuboresha vipawa, ujuzi na uwezo wao;

• kuheshimu uhuru wa kushirikiana kwa wafanyakazi; na

• kufanya kazi na serikali na jamii tunazofanya biashara nazo ili kuboresha maslahi ya elimu,

kitamaduni, kiuchumi, na hali ya jamii katika jamii hizo.

24 Kanuni ya Maadili Mema