22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

vyema kwenye vitabu na rekodi za Kampuni. Hakuna fedha za shirika ama mali ztaruhusiwa kutumiwa

kwa sababu yoyote isiyo halali ama isiyo sawa. Wasimamizi na wengine wanaosimamia uandalizi wa habari

za fedha lazima wahakikishe kwamba sera za shirika la fedha la Colgate zimefuatwa. Mapato na matumizi

yanapaswa kutambuliwa vizuri na kwa wakati unaofaa.

Mali na dhima inapaswa kurekodiwa vizuri na kuthaminiwa inavyostahilika. Kwa kuongezea, wale

wanawajibika kwa au wanahusika kujaza viingilio na tume ya Ulinzi na Ubadilishanaji na viingilio

vinavyotakikana kwa sheria inayotumika ama mawasiliano na jamii ya biashara na fedha wanapaswa

kuhakikisha kwamba viingilio hivyo na mawasiliano vinahusisha kufichuliwa kuliokamilika, kulio na

haki, kulio na usahihi, kulio wa wakati unaofaa, na kunaoeleweka. Ikiwa utapata kufahamu uwezekano

wa kusahaulika, uwongo ama kutokuwa sahihi katika uhasibu ama maandishi ya fedha, kwenye data

ya kawaida inayosaidia maandishi kama hayo, ama katika tume ya Usalama na Ubadilishanaji ya

Colgate ama hitilafu yoyote katika uthibiti wa kindani, lazima utoe ripoti mara moja kwa meneja wako

ama mshauri wa sheria wa kitengo chako. Unaweza pia kuona Idara ya Maadili na Makubaliano ya

Ulimwengu kuhusu mambo haya kwa kutumia njia ya kutojulikana na ya kisiri.

S:

J:

Je, nifanye nini nikiulizwa kuchelewesha kupata gharama zingine hadi kipindi kingine Kwa mfano, kama tu

atanifafanulia kwamba "maadamu zirekodiwe mwaka huu wa mapato, hatufanyi kitu chochote kibaya," hiyo ni

kweli

Hapana. Kuchelewesha kwa kujua gharama kutakuwa desturi ya kupotosha, isiyokubaliwa na ni ya kinyume

cha sheria. Kila shughuli ya kibiashara na kifedha, hata kama ndogo, lazima iripotiwe kwa usahihi na

uaminifu. Udanganyifu wowote wa waraka au rekodi ya Kampuni ni kosa baya na linaweza kusababisha

ukomeshaji wa ajira.

Tunalinda mali ya Colgate.

Mali ya Kampuni, vifaa ama huduma lazima zitumiwe kwa sababu zinazofaa na zilizoidhinishwa. Wizi

wa pesa, mali ama huduma haukubaliwi kabisa. Vifaa vya Colgate, mifumo, kadi za mkopo za shirika

na utoaji huduma lazima zitumike kwa nia ya kufanya biashara ya Colgate peke yake kwa sababu

zilizoruhusiwa na Usimamizi. Una wajibu wa kibinafsi kulinda mali ya Colgate uliyoachiwa, lakini

pia kusaidia kulinda mali ya Colgate kwa ujumla. Unapaswa kuwa macho kwa hali yoyote ama ajali

inayoweza kusababisha hasara, utumiaji mbaya ama wizi wa mali ya Kampuni na ni lazima uripoti

habari zote kama hizo kwa meneja ama Idara ya Usalama ya Shirika kwa haraka unapofikiwa na habari

hizo.

Ni maofisa fulani na wafanyikazi wengine wakubwa ambao wanaruhusiwa kufanya makubaliano

yanayoathiri Kampuni. Hautakiwi kufanya ahadi zinazoathiri mali ya Kampuni ila tu kama zimeruhusiwa

vizuri. Ikiwa unahitaji kuhakikisha mamlaka yako ama ya mtu yeyote ya kufanya makubaliano na

Kampuni, unapaswa kumuona mkurugenzi wa fedha wa kitengo chako ama wa kitengo chako.

Tunatumia rasilimali ya habari za teknolojia na midia ya jamii kwa

kuwajibika.

Lazima tutumie Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo na Midia ya Jamii ya Colgate kwa kuwajibika na kwa

njia inayolingana na Kanuni na Mwongozo wote mwingine wa Kampuni, ikiwa ni pamoja na Mwongozo

wa Desturi za Biashara za Kampuni na/au Mwongozo juu ya Kutumia Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo na

Midia ya Jamii.

Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo ya Colgate hujumuisha vifaa, programu na huduma zote za sasa na

za mustakabali ambazo hukusanya, huhifadhi, na huwasilisha na kuchakata data ambayo inamilikiwa,

12 Kanuni ya Maadili Mema

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!