22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Pia, tunatahadhari katika uchaguzi wa vyombo vya habari ambavyo ujumbe wetu unaonekana. Haturuhusu

matangazo yetu kuonekana kwenye vipindi vya televisheni ama kwenye vyombo vye habari vinayofanya

kiiua mgongo au kutumia vurugu, ngono ama tabia zingine zisizokubalika na jamii ama kuathiri sana sifa za

bidhaa za Kampuni yetu.

Tunaangalia viwango vya haki vya kibiashara kwa kuunda, kutumia na kuchagua utangazaji, alama za

uuzaji, na miundo ili bidhaa zetu zifanikiwe kwa nguvu ya ubora wake na sifa yetu, kuliko kwa nji ya kuiga

ama kuuza kwa ukarimu wa washindani wetu. Haki ya biashara inahitaji:

• Kufuata vikali mahitaji ya sheria ya kawaida kuhusiana na ukiukaji wa alama za biashara na

mashindano yasiyo na haki.

• Kuepukana na kuiga alama za biashara zinazojulikana, misemo, mada za utangazaji, na michoro

inayotumika na kampuni za kimataifa naya mikoa na za mitaa ya karibu na mbali.

Kwa majadiliano zaidi juu ya maongozi ya Utangazaji wa Kampuni, angalia “Maongozi ya Utangazaji wa

Colgate-Palmolive” na “Taarifa ya Sera ya Makazi ya Utangazaji wa Colgate-Palmolive” yanayopatikana

katika Maongozi ya Shughuli za Biashara za Kampuni.

18 Kanuni ya Maadili Mema

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!