22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

UWAJIBIKAJI WA

MAKUBALIANO

Kuwa na kanuni ya maadili mema iliyoandikwa haitoshi – viwango vya tabia ni lazima

viwasilishwe kwa na kufuatwa na wale ombwa kufuata.

Mawasilianao na UWAZI ni muhimu.

Kwa kukubali ajira na Colgate, kila mmoja wetu anawajibika na makubaliano na viwango vya tabia, na

sheria na kanuni zote na maongozi yenye maelezo zaidi inayopatikana katika maongozi ya shughuli

za biashara na katika sera zingine, utaratibu na maongozi yanayoandaliwa na Kampuni na tanzu zake,

vitendaji kazi na divisheni. Meneja wanalo jukumu la kuwasilisha viwango hivi kwa wale wanaofanya

kazi nao, kuhakikisha kwamba wanavielewa na kuvifuata, na kuunda mazingira ambapo watu wanaweza

kujadiliana huru masuala ya uadilifu na sheria.

Idara ya Uadilifu na Makubaliano ya Colgate Ulimwenguni

inasimamia makubaliano

Makubaliano na Kanuni ya Maadili Mema na Mwongozo wa Desturi za Biashara utasimamiwa na Idara

ya Maadili na Makubaliano Duniani. Idara huripoti kwa Afisa Mkuu Mtendaji/Mwenyekiti wa Bodi

na Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi wa Bodi la Wakurugenzi wa Colgate kuhusiana na kuanzishwa,

kutekelezwa kwa Kanuni ya Maadili Mema na mipango husika.

Habari inayoripotiwa kwa idara ya Maadili na MakubalianoDuniani au kupitia kwa njia nyingine, kwa

usahihi, kuwasilishwa kwenye msingi wa usiri wa Kamati ya Ukaguzi.

Kampuni ya Colgate-palmolive 27

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!