22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KUHUSU

KANUNI YA MAADILI MEMA

Kanuni ya Maadili Mema ya Colgate inatumika kama mwongozo wa kila siku kwa mawasiliano ya biashara,

ikiangaza kiwango chetu cha kanuni za tabia nzuri na maadili yetu ya kampuni. Kanuni inaonyesha wazi

kila mmoja wetu kwamba njia ambayo tunatumia kufikia matokeo ya biashara yetu ni muhimu kama

kufikia matokeo yenyewe. Kanuni ya Maadili Mema ya Colgate inatumika kwa watu wote wa Colgate, hii ni

pamoja na Wakurugenzi, Maafisa, na wafanyikazi wote wa Kampuni na tanzu zake ulimwenguni. Wachuuzi

na Wagawaji pia wako chini ya mahitaji haya kama matakwa ya Kanuni, na ni sharti ya kufanya biashara na

Colgate.

Muhimu kabisa, kila mfanyakazi analo jukumu la kuonyesha utimilifu na uongozi kwa kukubaliana na

masharti ya Kanuni ya Maadili Mema, Maongozo na Tabia za Biashara Ulimwenguni, Sera za kampuni

na sheria zote zinazoweza kutumika. Kwa kujumuisha kabisa uadilifu na utimilifu kwa uhusiano wa

biashara yetu inayoendelea na kufanya uamuzi, tunaonyesha kujitolea kwa utamaduni ambao unakuza

kiwango cha uadilifu wa hali ya juu kabisa.

Kuafikiana na Kanuni ni rahisi kuhakikisha kwa kutumia uamuzi unaofaa na kutafuta mwongozo

wakati maswali jitokeza. Kila mmoja wetu anawajibika kwa uamuzi wetu na kwa utekelezaji wetu wa

Kanuni. Kama huna uhakika, kabla hujaendelea na hatua yoyote maalum, jiulize yafuatayo:

• Ninaruhusiwa kufanya hivi

• Je, ninaweka mfano

• Ni sawa kuchukua hatua hii

• Je, hatua hiyo ni ya kisheria na inalingana na Maadili ya Colgate, kanuni za Kuongoza kwa Heshima,

Kanuni ya Maadili Mema, na Mwongozo wa Desturi za Biashara ya Kampuni na sera zingine

• Nitajivunia kuripoti hatua hii kwa mtu ninayemuheshimu

• Hatua hii itaendeleza sifa ya Colgate kama Kampuni yenye uadilifu

• Je, ninaonyesha viwango vya juu vya uadilifu

Ikiwa jibu lako kwa swali lolote ni HAPANA ama ikiwa una maswali yoyote ama hoja kuhusu kufafanua

ama kutumia Kanuni ya Maadili au kiwango chochote kinachohusiana na Colgate, sera ama utaratibu,

jadiliana hali hiyo na meneja wako, Waajiri Wafanyikazi, Shirika Kuu la Kisheria au Uadilifu wa

Ulimwengu na Makubaliano.

Hakuna hatua mbaya itakayochukuliwa dhidi ya mtu yeyote kwa sababu ya kulalamika, kuripoti, kuhusika

au kusaidia katika uchunguzi wa ukiukaji ulioshukiwa wa Kanuni ya Maadili Mema, isipokuwa kama

madai yaliotolewa au habari iliotolewa itapatikana kuwa ya uongo kimakusudi. Kwa umbali unaowezekana,

Colgate itadumisha usiri wa wahusika wote.

Kanuni inapatikana mtandaoni na imetafsiriwa kwa lugha kadhaa tofauti za nchini. Colgate inahitaji

kwamba watu wote wa Colgate wasome, waelewe na wafuate Kanuni. Hata hivyo, utekelezaji haufanyiki

tu. Unahitaji kujitolea kwa kila mmoja wetu. Ili kusisitiza dhamira hii, mafunzo na cheti cha Kanuni

yanatolewa kwa watu wa Colgate duniani kote kila mwaka.

Kampuni ya Colgate-palmolive 5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!