Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
habari inayotakikana kulindwa. Habari ya siri za kuuza na wamiliki wengine sio lazima ifae kupata hati ya

kumiiliki, lakini haiwezi kujulikana kwa jumla na umma.

Wajibu wako kuhusu siri za kuuza za Colgate na maelezo mengine ya faragha ni:

• Kutofichua maelezo haya kwa watu wengine wa Colgate au wahusika wengine isipokuwa kwa misingi

wa "kutaka kujua" au "kutaka kutumia" na, katika hali hizo, na uteuzi wa siri na mbinu zingine za

kulinda data kama vile ulinzi wa nywila au usimbaji fiche, kama inavyofaa; na sio kufichua maelezo

haya.

• Kutohusika na wahusika wengine kushughulikia maelezo haya bila hakiki inayofaa ya usalama na

vidhibiti vya teknolojia vya maelezo vya wahusika wengine.

• Kutochapisha au kujadili maelezo haya kwenye tovuti zinazopatikana kwa umma au tovuti za midia ya

jamii.

• Kutotumia habari hii kwa faida yako au kwa faida isiyoidhinishwa ya watu nje ya Colgate.

• Kuchukua hatua zingine zote zinazofaa ili kulinda siri za uuzaji za Colgate na maelezo ya siri

kulingana na Mwongozo wa Desturi za Biashara za Kampuni.

Ikiwa utawacha kazi Colgate, wajibu wako wa kulinda siri za kuuza za Colgate na maelezo mengine ya siri

utaendelea hadi habari hiyo itajulikana na umma au Colgate haiichukulii tena kuwa siri ya kuuza au ya

wamilki. Unapaswa pia kukumbuka kwamba mawasiliano, masuala yaliyochapishwa, habari za elektroniki,

nakala ama rekodi aina yoyote, utaratibu maalumu wa ufahamu, njia maalum za Colgate kufanya mambo,

– ikiwa ya kisiri au la – yote ni mali ya Kampuni na lazima yabakie Colgate. Kwa kweli, ujuzi wa kibinafsi

uliopatikana ama kuboreshwa kazini ndio tu mali ya kibinafsi ya yule aneyeondoka. Ikiwa una swali kama

habari fulani ni ya umiliki ama ya siri ya kuuza, wasilliana na na Shirika la Kisheria la Duniani.

Tunalinda data ya kibinafsi.

Tunaheshimu haki za siri za kibinafsi za wafanyikazi wetu, watumiaji, wateja, watoa huduma na watu

wengine ambao Colgate ina uhusiano wa kibiashara. Ni sera ya Colgate kukusanya, kuchakata, kutumia

na kubakia na maelezo ya kibinafsi kutoka kwa wafanyikazi, watumiaji, wateja, watoa huduma na watu

wengine kama inavyofaa tu na kulingana na sheria za nchi ambazo tunafanya biashara, ikiwa ni pamoja na

sheria zinazohusiana na ukusanyaji na matumizi ya maelezo ya kibinafsi ya watoto wadogo, na kuchukua

hatua zote zinazofaa za kulinda maelezo hayo.

Kama sehemu ya ajira yao na ya Colgate, huenda wafanyikazi wakatoa maelezo mengine ya kibinafsi

kwa Kampuni, kama vile anwani za nyumbani na barua pepe, maelezo ya familia kwa malengo ya faida,

na maelezo mengine ya kibinafsi. Tunatumia maelezo hayo kwa sababu zilizotolewa kwetu tu, isipokuwa

mfanyakazi akubalie matumizi mengine, na kama inavyofaa kwa malengo ya biashara na kulingana na

sheria za nchini.

Vivyo hivyo, watumiaji wanapohusiana na Colgate, kupitia maombi ya maelezo ya bidhaa au kuhusika

katika mashindano ya Kampuni, kwa mfano, huenda wakatoa maelezo ya kibinafsi, kama vile majina,

anwani za mtaa na anwani za barua pepe, kwa Kampuni. Tunatumia maelezo hayo kwa sababu zilizotolewa

kwetu tu, isipokuwa mtumiaji aruhusu matumizi mengine, na kama inavyofaa kwa malengo yetu ya

kuhifadhi rekodi. Ni sera yetu kutoshiriki maelezo ya kibinafsi ya mtumiaji na wahusika wengine, isipokuwa

yakihitajika ili kutoa huduma kwa wateja wetu na kulingana na sheria na masharti husika.

Wakati wa mahusiano ya biashara na Colgate, wateja, watoa huduma na watu wengine wanaweza kutoa

maelezo ya kibinafsi, kama vile majina, namba za simu, namba za faksi, anwani za mtaa, anwani za barua

pepe, kwa Kampuni. Tunatumia maelezo kama hayo kwa sababuzilizotolewa kwetu tu na kama inavyofaa

kwa malengo ya kuhifadhi rekodi. Ni sera yetu kutoshiriki maelezo ya kibinafsi ya wateja, watoa huduma na

10 Kanuni ya Maadili Mema