Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
MASWALI YANAYOULIZWA MARA

KWA MARA

S: Ni wapi ninaweza kupata Kanuni ya Maadili Mema ya Colgate

J:

Unaweza kuipata kwenye OurColgate.com na hata pia tovuti ya nje ya Colgate ya www.

ColgatePalmolive.com. Kama huwezi kufikia mtandao, unaweza pia kupata nakala kutoka kwa

Waajiri Wafanyakazi mahali popote ulimwenguni. Kanuni hiyo inapatikana kwa lugha 40.

S: Nitajuaje viwango vipi vinavyotumika katika eneo la kazi

J:

Colgate inaafikiana na sheria na masharti yote kila mahali tunapofanya kazi. Kwa kuongezea,

kunaweza kuwa na sera na desturi maalum za Kampuni ambazo zinashughulikia suala hili. Anza na

Kanuni ya Maadili Mema - hakikisha kumuuliza meneja wako, Mwajiri wa wafanyakazi, Maadili na

Makubaliano Duniani, au Shirika la Kisheria Duniani kama haupatii jina unalolitafuta.

S: Je, Kanuni ya Maadili Mema inatumika kwa nani

J:

Wafanyi kazi wote wa Colgate katika viwango vyote lazima wafuate Kanuni ya Maadili Mema.

Hakuna ubaguzi.

S: Na nikikiuka sera ya Kampuni kwa bahati mbaya

J:

Wafanyi kazi wote wanajukumu la kuhakikisha kwamba hatua zao zinalingana na Kanuni ya

Maadili Mema. Hii ndiyo sababu tunakuomba upitie na uhakikishe Kanuni ya Maadili Mema

kila mwaka, na ukamilishe mafunzo yoyote yanayohitajika ambayo umepewa. Unatarajiwa

pia kuleta maswali au hoja zozote kwa meneja wako, Maadili na Makubaliano Duniania, au

Shirika la Kisheria Duniani. Ukichukua hatua ambazo hazilingani na tabia zilizofafanuliwa

katika Kanuni au Sera nyingine za Kampuni, kusema kwamba ulikuwa na nia nzuri au kwamba

hukujua hatua zako hazikufaa hazitakulinda dhidi ya hatua za kisheria au matokeo ya kisheria.

S: Meneja wangu alinieleza nifanye kitu ambacho ninadhania ni kinyume cha sheria.

Je, nifanye nini

J:

Unapaswa kuongea na meneja wako ili uhakikishe kwamba unaelewa ombi. Kama, baada

ya mazungumzo hayo, ikiwa bado una wasiwasi, unapaswa kuwasiliana na Maadili na

Makubaliano Duniani katika Kitengo cha Maadili ya Colgate-Palmolive au Shirika la Kisheria

Duniani ili uripoti hoja zako:

Kitengo cha Maadili ya Colgate-Palmolive

ethics@colpal.com

1-800-778-6080 (Marekani Kaskazini)

1-212-310-2330 (simu ambayo mwenye kupigiwa anailipia kutoka nje ya Marekani Kaskazini)

1-212-310-3745 (Fax)

Kampuni ya Colgate-palmolive 31