22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

UHUSIANO WETU

NAJAMII

Kampuni inajitahidi kuwa mjumbe anayechangia katika jamii ya ulimwengu. Sisi ni raia wa

kila eneo ambapo tunafanyia kazi, na kama raia binafsi, tunalo jukumu la kuunga mkono

afya, elimu na maslahi ya jamii.

Tunahusika katika kusaidia wa kujitolea katika jamii na maeneo ya mtaani.

Kupitia dunia nzima, ni lengo letu kuhusika katika miradi ya kuendeleza ukuzaji na maslahi ya watu

wa jamii. Miradi kama hii inajumusha kuhusika kwa michango ya ufadhili, na kuchukua jukumu kwa

kuwasaidia maskini, walioumia na wasiokuwa na makaazi katika saa za mchafuko wa dunia. Tunazingatia

sana vijana, haswa elimu ya vijana. Colgate inaamini kuwa uwekezaji unaowekwa kwa watoto utatusaidia

wote kwa siku zijazo za kesho. Hii ndio sababu Kampuni inadhamini mipango ya kusoma, ubunifu wa

ushauri, mashindano ya riadha na shughuli zingine za vijana duniani kote. Juhudi hizi hukuza moyo wa

kushindana na mafanikio kwenye vijana.

Kampuni pia inahimiza watu wake kuhusika kwa wakati wao wenyewe katika shughuli za mtaani

za kusaidiana.

Tunafanya kazi na serikali kwenye masuala yanayohusika na

biashara yetu.

Kampuni iko na matawi katika nchi zaidi ya 200. Ni sera yetu kufanya kazi kwa ushirikiano na serikali ya

mitaa na serikali ya nchi. Wakati mwingi, maswala yanayoathiri shughuli zetu yanaweza kutokea. Baada ya

uzingatiaji wa makini, Kampuni itatoa maoni na mapendekezo kwa serikali juu ya maswala kadhaa kuunga

malengo yetu na mahitaji ya biashara.

Tunakataa shughuli za kutumia vibaya na hali isiyo ya kibinadamu

katika kazi.

Colgate hairuhusu matumizi mabaya ya kazi kwa watoto, unyonyaji wa watoto, na njia yoyote nyingie ya

kuwatendea vibaya wafanyakazi haikubaliki. Pia, ni sera ya Colgate kutofanya kazi na msambazaji ama

kontrakta anayejulikana kufanya kazi kwa njia ya kuwatendea vibaya mfanyakazi ama kuwanyanyasa

watoto, ghadhabu ya kimwili, unyanyasaji wa wanamake, kutumikia kwa kulazimishwa na njia nyngine

yoyote ya unyanyasaji. Hakuna unyanyasaji wa watoto ama sheria za kikazi unaokubalika na Kampuni,

na ikiwa ukiukaji wa sera zetu utajulikana na Kampuni, ni fursa ya kukuukomesha uhusiano wa biashara

mara moja.

Tunaonyesha kujitolea kwetu kwa haki za kiibinadamu Ulimwenguni.

Colgate imejitolea kuheshimu haki za kibinadamu uliwenguni kote. Hadi mwisho, Colgate inashughulika

na kufafuta kufanya kazi na washirika wanokuza viwango vifuatavyo:

Kampuni ya Colgate-palmolive 23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!