22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

watu wengine na wahusika wengine, isipokuwa itakapohitajikai katika muktadha wa uhusiano wa biashara

na kulingana na sheria na masharti husika.

Sheria zinazohusiana na siri ya mtumiaji zinakuzwa na kurekebishwa mara kwa mara. Tumejitolea

kufuatilia sheria za siri na viwango vinavyobadilika na tunaweza, mara kwa mara, kukuza sera maalum

husika. Kwa maelezo zaidi kuhusu ulinziwa data ya kibinafsi, tafadhali wasiliana na Shirika la Kisheria la

Duniani.

Tunafuata sera za wanahabari na vyombo vya habari.

Maombi ya habari za fedha ama biashara kuhusu Colgate kutoka kwa vyombo vya habari, wanahabari,

jamii ya fedha ama umma yanapaswa yaelekezwe kwa Makamu wa Rais, Mawasiliano ya Shirika au

Makamu wa Rais, ama Uhusiano wa Wakekezaji. Maombi ya habari ama mawasiliano kutoka kwa tume

ya Usalama na Ubadilishanaji, Soko la Hisa la New York ama warekebishaji wengine na wasimamizi wa

ulimwenguni kote lazima yaelekezwe kwa Wanasheria. Ni muhimu kwamba mfanyakazi yeyote asijibu

swali lolote kama hilo ama kuwasiliana wenyeye kwa wenyewe kwasababu majibu yoyote ya kuputosha,

ama yasiofaa ama habari ya kukanusha, inaweza kusababisha kuenea kwa utangazaji usiofaa na unaweza

kudhuru msimamo halali wa Kampuni.

Sera hii haitumiki kuuliza hadharani habari ya fedha, kama ya Kila Mwaka na Ripoti za Robo Mwaka, ama

shuguli za ukuzaji wa Kampuni hadharani.

Maombi ya mahojiano na mtu yeyote wa Colgate yanayohusiana na Kampuni au shughuli zake au/na

kutolewa kwa habari yeyote kwa wanahabari lazima yaangaliwe na kupitishwa na Makamu wa Rais,

Mawasiliano ya Shirika au Makamu wa Rais ama Mahusiano wa Wawekezaji. Mahojiano yanayoanzishwa

na Kampuni pia lazima yaidhinishwe kabla ya kupanga kukutana na vyombo vya wanahabari.

Kwa habari zaidi kuhusu maongozi ya Kampuni ya kutunza habari za siri, tafadhali rejea kwa “Maongozo

ya Ununuzi na Uzaaji wa Amana wa Colgate-Palmolive na Kuhifadhi Habari za Siri” na “Maongozi ya

Colgate-Palmolive ya Kutunza Habari za Wamiliki Wengine na Kuheshimu Habari za Wamiliki Wengine,”

zinazopatikana katika Maongozi ya Biashara ya Kampuni.

Tunadumisha ripoti na rekodi za kutegemewa.

Hali halisi ya kifedha ya Kampuni yetu na matokeo ya shughuli zake lazima zinakiliwe kulingana na

mahitaji ya sheria na kwa ujumla ikubaliwe na kanuni za jumla za kuhesabu (GAAP). Sera ya Kampuni na

sheria pia, inahitaji Colgate kutunza vitabu, nakala na akaunti zinazoangazia kwa usahihi na usawa hali ya

mapatano ya biashara na utoaji wa mali ya Kampuni.

Uadilifu wa rekodi za akaunti ya Kampuni na kumbukumbu za uhasibu msingi wake ni usahihi na

ukamilifu wa maelezo ya kawaida yanayosaidia maandishi kwenye vitabu vya hesabu vya Kampuni. Kila

mtu anayehusika katika kuunda, kuchakata na kurekodi habari kama hizo anawajibika uadilifu wake. Kila

uhasibu ama kiingilio cha fedha kinapaswa kuangazia haswa yale yaliyofafanuliwa na maelezo ya usaidizi.

Hakufai kabisa kuwa na ufichaji wa habari kutoka (ama kwa) usimamizi, ama kutoka kwa wakaguzi wa

hesabu wa ndani ya Kampuni ama wakaguzi wa hesabu wa kibinafsi.

Hakuna malipo kwa niaba ya Kampuni ambayo yataruhusiwa ama kufanywa kwa nia ya uelewano kuwa

kila sehemu ya malipo hayo ni ya kutumiwa kwa sababu yoyote ila tu ile iliyoelezewa kwa hati za kuunga

mkono malipo. Hakuna maandishi ya uwongo ama ya kupotosha yataruhusiwa kuwekwa katika vitabu

ama rekodi za Kampuni kwa sababu yoyote, na hakuna fedha, mali ama akaunti ya Kampuni itathibitishwa,

patikana ama kuhifadhiwa kwa sababu zozote zile ila tu kama fedha hizo, mali ama akaunti imeangaziwa

Kampuni ya Colgate-palmolive 11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!