22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

UHUSIANO WETU

NA WATUMIAJI

Sifa yetu imejengwa juu ya ubora na usalama wa bidhaa zetu. Kujitolea kwetu kwa ubora na

usalama ni muhimu kuendeleza ukuaji na mafanikio ya Kampuni yetu.

Tunaweka viwango vya juu zaidi kwa bidhaa zetu.

Tumejitolea kuhakikisha kwamba watumizi wanaweza kuamini bidhaa za Colgate kwa utegemeaji, ubora

na utendaji wa kiwango cha juu. Pamoja na kutumikia mamilioni ya watu katika masoko tunayofanyia kazi,

ni lazima tujitahidi kila wakati kutengeneza bidhaa zetu kwa njia nzuri zaidi ili ziweze kuwa bei nafuu kwa

nambari kubwa zaidi ya watumizi.

Bidhaa zinazouzwa na Colgate sio lazima tu zitimize viwango vya usalama vilivyowekwa na sheria, lakini

pia mara kwa mara viwango kali zaidi vya Kampuni. Tunahusika katika vipindi tofauti ili kutoa usaidizi

wa haraka kwa watumizi wakati bidhaa imeharibiwa ama imetumiwa vibaya au bandia. Afya ya mtumizi,

usalama na maslahi ni ya muhimu kwetu na kama mfanyakazi wa Colgate ni jukumu lako kupiga ripoti

maswala yoyote unayokumbana nayo yanayohusiana na ubora ama usalama wa bidhaa kwa kiongozi wa

kitengo cha biashara.

Tuna mwitikio kwa watumizi.

Kwa sababu biashara yetu ni bidhaa za utumiaji, mafanikio yetu yanategemea kuridhika kwa mtumizi,

uaminifu na maslahi mema. Tunaweza kufikia vizuri malengo yetu na kutumikia mahitaji ya watumiaji kwa

kufuata kipindi thabiti, cha haki na nyeti na cha kujali mawasilainao ya watumiaji.

Tunagundua umuhimu wa kuterejea na kuhakukisha mwitikio kwa mahitaji ya watumiaji na mapendeleo ya

bidhaa zetu. Tunaamini kwamba maoni ya watumiaji, hoja na maswala yanayowasilishwa kwenye Kampuni

kuhusu bidhaa zetu ni njia muhimu ya kupata habari. Mahitaji ya watumiaji hubadilika kila wakati, kwa

hivyo lazima tusikize kila wakati kila wanachotaka na tutumie ubunifu wetu kutosheleza mahitaji haya

yanyobadilika.

Wakati mtumiaji anawasilisha kutotosheka, tunashughulikia shida hiyo kwa haraka, kwa utaratibu na haki,

na tunafanya hima kudumisha na kupata tena ukarimu wa mtumiaji na kuendelea kwa ununuzi wa bidhaa

za Colgate.

Kutangaza kwetu ni sahihi.

Hali moja iliyo muhimu sana katika biashara yetu ni kutangaza. Kutangaza kunafaa kuwa na ubunifu na

ushindani, lakini kwa wakati huo huo, uwe wa ukweli na sahihi, sio wa potosha na kwa kila mara uwe

unalingana na sheria. Kutangaza kwetu lazima pia uepuke na kueleza vibaya watu kwa misingi kama ya

umbari, dini, asili ya taifa, rangi, jinsia, msingi wa jinsia, umri, uraia, mwelekeo wa jinsia, hali ya uzee, hali

ya ndoa ama ulemavu au tabia nyingine yoyote inayolindwa na sheria. Utangazaji unabuni zaidi ya taswira

ya bidhaa. Inajenga sifa yetu ya utegemeaji, kutegemewa na uaminifu.

Kampuni ya Colgate-palmolive 17

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!