22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

UHUSIANO WETU NA

MAZINGIRA

Mazingira masafi ni muhimu kwa Colgate sio tu kwasababu ni kitu cha busara kufanya

lakini kwasababu inafanya ufahamu mzuri wa biashara. Hoja yetu ya kutia juhudi

zetu kulinda sayari yetu inazingatia kufanya kazi kwa njia iliyosalama kwa mazingira

inayolinda ulimwengu wetu kwa vizazi vijavyo.

Tumejitolea kwa uendelezaji na uwajibikaji wa kijamii.

Katika Colgate, uendelezaji ni muhimu kwa mafanikio ya Kampuni. Imewekwa mizizi kwenye dhamani za utunzaji wa

Colgate, kazi ya pamoja na kuendeleza uboreshaji. Lengo letu ni kwa Watu, Utendaji kazi na Sayari.

Kwa kuongeza, tunajitolea kutimiza lengo letu la kuendeleza ulimwengu na kuhakikisha kuwa biashara ya Colgate

inakua kila wakati na kwa uwajibikaji na faida kwa wale tunaowahudumia, pamoja na wafanyakazi, washikadau wetu na

wawekezaji ulimwenguni tukikuza maslahi ya vizazi vijavyo.

Kwa miaka michache iliyopita, ahadi yetu ya uendelezaji na uwajibikaji wa jamii imeongezeka kwa kuwa tumejumuisha

vumbuzi hizi katika shughuli zetu za biashara, Njia hii iliyojumuishwa imetia nguvu vumbuzi zetu za uendelezaji na

majukumu ya kijamii na utendaji kazi wa biashara yetu, kutusaidia kuajiri na kudumisha vipaji bora, kuboresha mahusiano

yetu na washikadau, na kutoa nafasi mpya za uvumbuzi. Pengine muhimu zaidi, ahadi hii imewafurahisha na kuwahusisha

watu wa Colgate duniani kote.

Sera zetu za uendelezaji na mipango zimetolewa kwa muhtasari ili uweze kuangalia katika sehemu ya "Kutenda Karama

Zetu" ya tovuti ya www.ColgatePalmolive.com

Tunalinda na kutunza mazingira yetu.

Kampuni imejitolea kulinda mazingira. Kwa hivyo, ni lazima kila mtu akubaliane na barua na moyo waa sheria na

kanuni zinazotumika kwa mazingira na sera za jamii zinazowakilisha. Hakuna mtu au meneja katika Kampuni mwenye

ruhusa kuhusika katika tabia isiyokubaliana na sera hii, kuongoza, ama kuidhinisha, ama kuruhusu tabia yoyote kama hii

na mtu mwingine.

Tutakuza mawasiliano ya uawazi na umma na tutatafuta ushirika unaoendelea na unaozalisha katika jamii tunayofanyia

kazi. Tutaendelea kushiriki habari na watumiaji kuhusu sera za mazingira na tutafanya kazi na viongozi wa jamii na wengine

wote wananoshiriki katika kujitolea kwetu kulinda mazingira kwa vizazi vijavyo.

Katika uliwengu wetu unaoendelea kubadilika, Colgate inatoa kipaumbele kufanya kazi kwa njia ya uwajibikaji na ya

heshima. Juhudi hizi zimesababisha kuwa na ongezeko la utendaji bora na faida za kifedha kwa Kampuni. Tunajua

kwamba bado kuna mengi yakufanywa. Mipango yetu inayoendelea ya kupunguza alama ya mahusiano ya mazingira

itabaki kuwa sehemu muhimu ya kutoa, kupakia na usambazaji wa bidhaa zetu.

Kwa habari zaidi kuhusu sheria za mazingira zinazotumika kwenye kampuni na sera zinazohusiana na Kampuni na

utaratibu, tafadhali angalia katika “Sera ya Mazingira, Afya ya Kikazi & Usalama wa Colgate-Palmolive,” inayopatikana

katika Maongozi ya Shughuli za Biashara za Kampuni.

Kampuni ya Colgate-palmolive 25

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!