22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ulemavu, hadhi ya ndoa, hali ya uzee au sifa yoyote ile inayolindwa na sheria yeyote katika hali na

masharti ya ajira. Hii inajumuisha, lakini haijazuiliwa kwa, kuajiri, kuandikwa kazi, kupandishwa

cheo, kuhamishwa, fidia, mafunzo, kushushwa cheo au kupigwa kalamu.

• Hatuwatumii watoto wadogo kufanya kazi. Kuwafanyisha watoto wadogo kazi hufafanuliwa kama

kuajiri mtu yeyoye mwenye umri mdogo kuliko umri uliopitishwa na sheria katika mamlaka ya sheria

husika. Hata hivyo, hakuna wakati wowote tutakapoajiri tukijua mtu yeyote mwenye umri chini ya

miaka kumi na sita (16).

• Tunadumisha mazingira ya kujumuisha ya kufanya kazi na kufikia ubora kwa kuvutia na kuhifadhi

watu kutoka misingi yote ya jamii katika mahali petu pa kazi.

• Tunatoa mafunzo, masomo na kutoa nafasi za kupata vyeo zitakazoruhusu ukuzaji na kuendeleza

kikazi kwa watu wote wa Colgate.

• Tunatekeleza tathmini za utendaji kazi zinazotoa maoni wazi na ya usahihi. Utaratibu huu unahimiza

mazungumzo na mawasiliano ya njia-mbili na usimamizi wa kiwango cha juu kupitia tathmini za

utendaji kazi.

• Tunalipa utendaji wa kazi na kugundua na kutunuku mchango unaofanywa na watu binafsi na timu

ambazo zinazidi kazi zao za kawaida kupitia mipango kama ya Mpango wa Tuzo wa Mwachanachama

Unaweza Kuleta Mabadiliko.

• Tunapiga marufuku unyanyasaji wa kingono au wowote ule wa watu wa Colgate na mtu yeyote katika

mahali pa kazi ama unapofanya biashara yoyote ya Kampuni.

S:

J:

Mmoja wa wafanyikazi wenzangu alituma kichekesho kisichofaa kwangu na kwa wafanyikazi wengine.

Niliona inakera, lakini sijui kama ninapaswa kuwasiliana na mfanyakazi mwenzangu na hoja yangu.

Katika Colgate-Palmolive, tumejitolea kudumisha mazingira ya kazi ya kitaalamu ambapo watu wote wa

Colgate wanashughulikiwa kwa heshima na uadilifu. Kwa hivyo, tabia ya kukera au isiyofaa haikubaliwi.

Kama unahisi wasiwasi kuongea na mfanyakazi mwenzako moja kwa moja, tafadhali wasiliana na Meneja

wako, Waajiri Wafanyakazi au Maadili na Makubaliano Duniani kwa msaada.

• Tunajitahidi kuepuka mapendeleo ama kuonekena kwa mapendeleo katika mahali pa kazi

kulingana na sera na utaratibu iliyochukuliwa na Kampuni.

• Tunajitahidi kuondoa hatari zinazowezekana kutoka mahali pa kazi na kufuata sheria za usalama na

afya na viwango vyote husika vya kazini.

• Tunasaidia kuhifadhi mazingira salama, yenye afya na uzalishaji, kwa watu wote wa Colgate na

wengine wote, kwa:

– kuzuia umiliki, matumizi, uuzaji au uhamishaji wa dawa zisizo halali ama vifaa vya madawa kwa

kutumia mali au wakati wa Kampuni;

– kuzuia kufanya biashara ya Kampuni ukiwa umelewa;

– kuzuia umiliki au utumizi wa silaha au risasi katika majengo ya Kampuni au unapofanya

biashara ya Kampuni kulingana na sheria ya hapa. Umiliki wa silaha unaweza kuruhusiwa

kwa wafanyakazi wanaolinda usalama wakati umiliki huu umethibitishwa kuwa muhimu ili

kuimarisha usalama wa wafanyakazi wa Kampuni;

– kuzuia vitendo vyovyote ambavyo vinaweza kuchukuliwa kama vya uhasama, kutishia, kushusha

hadhi au vitisho, na

– kuhitaji kwamba usaidizi wowote wa mihadarati au utumizi mbaya wa pombe, mzozo au

kumiliki silaha kinyume cha sheria kuripotiwa kwa wasimamizi mara moja.

Kampuni ya Colgate-palmolive 7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!