22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

inapangishwa au kutolewa na Colgate.

Kwa kuongezea, Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo ya Colgate hujumuisha maunzi, programu au huduma

ya mwajiri au muhusika mwingine kwa umbali ambapo zinatumiwa ili kufikia au kuingiliana na Nyenzo za

Teknolojia ya Maelezo ya Colgalte.

Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo ya Colgate, na hata pia Midia ya Jamii, inapaswa kutumiwa kwa njia

ya heshima na ya kitaalamu kwa malengo ya biashara ya Colgate isipokuwa kwa malengo yaliyozuiwa na

yanayofaa ya kibinafsi. Kwa kuongezea, matumizi yafuatayo yamekatazwa:

• Unyanyasaji, ubaguzi, ujumbe ambao ni wa matusi, utapeli, ama ujumbe wa kutisha, pamoja na zile

zinazotumika na kukera umbari, dini, asili ya kitaifa, jamii, rangi, ngono, kitambulisho cha jinsia,

umri, uraia, hali ya uzee, hali ya ndoa, ulemavu au tabia nyengine yoyote iliyolindwa na Sheria.

• Usambazaji usioidhinishwa wa faragha au maelezo ya siri ya uuzaji ya Colgate au majadiliano

yasiyoidhinishwa ya biashara ya Kampuni au michakato ya kindani kwenye tovuti yoyote ya nje.

• Kusababisha ama kukubali ukiukaji wa usalama ama kuvurugwa kwa mtandao wa mawasiliano ama/

na kufichua vibaya nywila yako kwa wengine ili kuwakubalia kutumia nywila yako.

• Matumizi yoyote mengine yaliyokatazwa na Mwongozo wa Desturi za Biashara ya Kampuni au

Mwongozo wa Kutumia Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo na Midia ya Jamii.

Isipokuwa kama inavyozuiwa na sheria husika, Colgate inahifadhi haki ya kufuatilia, kufikia na kuhakiki

Nyenzo zote za Teknolojia ya Maelezo ya Kampuni katika hali zinazofaa kulingana na uamuzi wa Kampuni

na kulingana na sheria husika. Haki ya kampuni ya kufuata, kufikia na kuhakiki Nyenzo zote za Teknolojia

ya Maelezo ya Kampuni inafikia hadi biashara na hata pia maelezo ya kibinafsi yaliyoundwa, kuhifadhiwa

au kupitishwa kwa kutumia Nyenzo za Teknolojia za Maelezo ya Kampuni, na pia hujumuisha tovuti

za Midia za Jamii zilizotembelewa kupitia Nyenzo za Teknolojia za Maelezo ya Kampuni. Wafanyikazi

wanapaswa wasitarajie faragha kuhusiana na biashara hiyo au maelezo ya kibinafsi.

Colgate ina haki ya kuzuia au kuondoa upatikanaji wa mtumiaji yeyote au matumizi ya Nyenzo ya

Teknolojia ya Maelezo ya Colgate wakati wowote, kwa sababu yoyote ile, bila ilani ya mapema, isipokuwa

inapokatazwa na sheria.

S:

J:

Mara kwa mara mimi hutembelea tovuti za blogu nikipumzika nyumbani, na wiki iliyopita, niligundua

maoni kutoka kwa mfanyakazi wa zamani akifafanua masaibu yake na Kampuni yetu kwa njia mbaya

sana. Hii ilinikasirisha sana. Ninaweza kujibu maoni haya

Huwezi kujibu maoni kwa niabaa ya Kampuni. Hata hivyo, uko huru kujibu kwa msingi wa kibinafsi, bora

uwe haukiuki mwongozo wa Kampuni juu ya kutumia Nyenzo za Teknolojia ya Maelezo na Midia ya Jamii na

haufichui maelezo ya siri au ya mmiliki wa Kampuni. Unahimizwa sana pia kuleta suala hili kwa meneja wako

au Mwajiri Wafanyikazi.

S:

J:

Binti yangu na mimi wakati mwingine tunatumia kompyuta yangu ndogo ya Kampuni ili kufikia Mtandao.

Hivi karibuni aliniuliza kama yeye na rafiki yake wanaweza kutumia kompyuta yangu nikiwa nje ya mji

wiki hii. Je, ni sawa kuwapa maelezo ya kuingia na nywila

Hapana. Maelezo ya kuingia na nywila husaidia kuweka Nyenzo zetu za Teknolojia ya Maelezo salama.

Haupaswi kufichua maelezo haya kwa mtu yeyote. Pia, haushahuriwi kuweka maelezo ya kuingia au nywila

kwenye kompyuta yako au kuziweka katika mfuko wako wa kompyuta. Kwa kuongezea, unaweza kulinda vyema

data ya Kampuni dhidi ya watumiaji wasiodhinishwa kwa kubadilisha nywila zako mara kwa mara. Zaidi,

wajumbe wa familia hawapaswi kutumia kompyuta yako ndogo ya Kampuni kwa matumizi ya kibinafsi.

Kampuni ya Colgate-palmolive 13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!