22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Tunakuhimiza uwasiliane na Uadilifu na Makubaliano ili kuuliza maswali kuhusu, ama kuripoti ukiukaji

wowote unaoshukiwa wa Kanuni ya Maadili mema. Ukiukaji wote ulioripotiwa utachunguzwa haraka.

Ni muhimu kwamba watu wanaoripoti wasifanye uchunguzi wao binafsi kwani unaweza kusababisha

maswala magumu ya kisheria. Kuchukua hatua mwenyewe kunaweza kuzua mizozo katika uchunguzi na

unaweza kuiathiri vibaya sana Colgate nakujiathiri mwenyewe.

Tunakuhimiza kujijulisha unapopiga simu ili kusaidia uchunguzi na kufuatilia. Wakati sheria za kawaida

zinaruhusu, unawezakutoa habari kama mtu asiyejukilikana. Kuna sheria katika nchi nyingine ambazo

zinakataa aina ya habari unazoweza kuripoti kupitia kwa nambari ya haraka. Kama sheria hizi zinaweza

kutumika kwenye hali yako, mwakilishi wa Uadilifu na Makubaliano ya Ulimwengu atakuelekeza kwa mtu

katika biashara yako ambaye anaweza kukusaidia na swali lako au hoja.

Kwa sababu ya uchunguzi wa ukiukaji ama ukiukaji wa kushukiwa wa Kanuni ya Maadili mema ama

Maongozi ya Shughuli za Biashara, inawezekana kuelekeza data ya kibinafsi iliyochukuliwa kutoka nchi

moja au nyingine. Kwa kuendelea, ukiukaji wa kushukiwa ama haswa wa kanuni ya maadili mema

ama Mwongozi wa Shughuli za Biashara unaweza kusababisha kuwe na ripoti inayofanywa na Idara ya

Uadilifu na Makubaliano ya Ulimwengu ambayo inaweza kuwa na data ya kibinafsi. Katika hali kama

hizo, data ya kibinafsi inayotumiwa na wafanyakazi wa Kampuni na wanabiashara wa Colgate katika

shughuli za Idara ya Uadilifu na Makubaliano ya Ulimwengu kuchunguza ripoti hiyo, lakini tu kwa

muda mfupi kama itakavyotakikana kwa sababu hii (na baadaye data hiyo ya kibinafsi itaondolewa ama

itawekwa kama inavyotakikana na sera ya Kampuni ama na sheria).

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa.

Sera ya kampuni ni "kutohimili kabisa" tabia yoyote ambayo inakiuka Kanuni ya Maadili Mema au

Mwongozo wa Desturi za Biashara. Hii inamaanisha kwamba wakati tokeo la ukiukaji limethibitishwa,

hatua inayofaa italingana na hali na jinsi ukiukaji utakavyochukuliwa. Vivyo hivyo, Kampuni inakusudia

kuzuia tukio la tabia isiyolingana na Kanuni au Mwongozo wa Desturi za Biashara na kukomesha tabia

yoyote kama hiyo ambayo inaweza kutokea punde tu inapowezekana baada ya utambuaji wake. Watu

wa Colgate wanaokiuka Kanuni au Mwongozo wa Desturi za Biashara huenda wakachukuliwa hatua za

nidhamu, hadi kujumuisha kusitishwa, kulingana na sheria ya nchini.

Kanuni inatumika kwa Shughuli zote za watu wa Colgate na Kampuni.

Kanuni inatumika kwa kila mtu anayefanya kazi na Kampuni ya Colgate-Palmolive na kampuni zake

tanzu, ikiwa ni pamoja na maafisa, na hutumika pia kwa wakurugenzi na mawakala wa Kampuni

kulingana na sheria husika. Nakala za Kanuni, zinazopatikana kutoka kwa Idara ya Maadili na

Makubaliano Duniani, zinapaswa kupewa watu au mashirika yaliyobaki na kuidhinishwa kushughulikia

kwa niaba ya Kampuni katika maeneo ambayo Kanuni inatumika. Watu wa Colgate duniani kote

wanaonyesha kujitolea kwao kwa makubaliano na viwango vya uadilifu vya Kampuni kwa kuhusika katika

mafunzo na vyeti vya Kanuni ya Maadili Mema kila mwaka.

Kampuni ya Colgate-palmolive 29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!