22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Hatutoi msaada wa kisiasa.

Hakuna fedha ama mali ya Kampuni inyoyoweza kutumika kwa misaada ya vyama vya kisiasa au

mgombeaji, akiwa wa serikali, wa mtaa, Marekani (U. S.) ama ngambo. Msaada wa kisiasa unajumuisha wa

moja kwa moja (kama, pesa) ama msaada wa aina yoyote, Msaada usio wa-pesa unajumusiha ununuzi wa

tiketi za mchango, msaada wa bidhaa, kazi ya kujitolea kwa watu wa Colgate katika wakati wa kawaida wa

biashara na utumizi wa vifaa vya Colgate kwa kusaidia mchango ama sababu za kisiasa. Ikiwa unalo swali

kuhusu msaada usio wa – pesa, tafadhali wasiliana na Shirika la Kisheria Duniani.

Kampuni hairuhusiwi kulipa ama kumrudishia pesa mtu yeyote wa Colgate ama mtu anayehusika na

Kampuni (pamoja na washawishi wa nje), wanaohusika moja kwa moja au la, kwa hali yoyote, kwa msaada

wa kisiasa ambao mtu anakusudia kutoa ama ameshatoa.

Watu binafsi wa Colgate watabaki huru kufanya msaada wa kibinafsi kwa wagombeaji ama vyama

watakavyo chagua. Msaada wa kibinafsi ni jukumu na mzigo wa mtu binafsi. Colgate haitakubali jukumu

lolote au uwajibikaji kwa heshima ya msaada wa kibinafsi. Zaidi, msaada wa kibinafsi hautafanywa kwa lengo

la kusaidia Colgate ama moja wapo ya Kampuni inayoshughulikia kwa kupata ama kuhifahdi biashara.

Kama vile makampuni mengi ya kimataifa, Colgate inahusika na hulipa malipo ya kila mwaka kwa

mashirika kadhaa ya biashara na viwanda nchini Marekani. Ili kusaidia kuhakikisha kwamba mashirika

haya ya biashara hayatumii sehemu yoyote ya malipo haya yaliyolipwa na Colgate kwa michango ya

kisiasa, Afisa Mkuu wa Maadili na Makubaliano wa Colgate hufahamisha mashirika ya kibiashara

ya Marekani kila mwaka juu ya sera yetu ya kuzuia michango kama hiyo na uhitaji kila shirika la

biashara kuhusika katika mchakato wa cheti cha kila mwaka. Kujifunza zaidi, tafadhali rejea sera yetu

ya michango ya kisiasa, ambayo inaweza kupatikana katika sehemu ya Usimamizi ya tovuti ya www.

ColgatePalmolive.com.

Tunashughulikia wengine kwa uadilifu.

Ni sera ya Kampuni kwamba watu wa Colgate lazima wafuate kabisa sheria zote husika za kutotoa hongo

duniani kote na lazima wasihusike katika hatua zozote za hongo. Kwa hivyo, haupaswi kutafuta kushawishi

uamuzi au tabia ya mhusika yeyote wa nje ambaye unaweza kuwa unafanya biashara ya Kampuni naye kwa

kuahidi zawadi au faida zingine, au na ushawishi wowote usio wa kisheria.

Kwa kuongeza, sheria zingine za kushawishi zinaweza kuhitaji uwandikishaji wa Kampuni ama watu

na ripoti kama mshawishi ikiwa mtu wa Colgate atawasiliana na mfanyakazi wa serikali kwa sababu ya

kuathirii au upitishaji ama hatua nyingine rasmi. Ikiwa unahusika na shughuli zozote kama hizi, ni lazima

uwajulishe Shirika la Kisheria Duniani.

Kujitolea kwa Colgate kushughulika kisheria na kwa uadilifu na serikali inatumika uliwenguni kote. Sera

ya Kampuni, Desturi ya Shughuli za Ufisadi za Nje ya Marekani na sheria za kutotoa-hongo kama hizi

ulimwengini kote haziruhusu watu ama ajenti wao kutoa au kutaka kutoa pesa ama kitu chochote cha

thamani- ikiwa pesa taslimu au la, ama ikiwa kwa moja kwa moja au la, kupitia kwa wengine- kwa afisa

wa nje (kama, mfanyakazi wa serikali ya nje, chama cha kisiasa cha nje, ama mwanachama rasmi, ama

mgombeaji rasmi wa kisiasa wa nje) kushawishi kuwa rasmi kuathiri desturi yoyote ya serikali ama uamuzi,

ama kusaidia Kampuni kupata au kuhifadhi biashara.

Ili kuhakikisha kuwa haukeuki kiwango hiki, ni sera ya Kampuni kuwa, isipokuwa malipo yoliyokubaliwa na

sheria, (kwa mfano, Malipo ya leseni au kibali yanayotakikana), hakuna malipo, burudani, au zawadi au vitu

vingine vyovyote vitatolewa kwa maafisa wa kigeni, moja kwa moja au la, isipokuwa iwe imeidhinishwa kwa

mapema na Shirika la Kisheria Duniani kama agizo halali chini ya sheria za Marekani na zingine husika.

Kuwa wa moja kwa moja na mwenye ukweli unaposhughulika na kuwasiliana na wafanya kazi wa serikali.

Taarifa yoyote inayofahamika au ya uongo kimaksudi kwa wafanyakazi wa serikali (mazungumzo

Kampuni ya Colgate-palmolive 21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!