22.01.2015 Views

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

Kuishi Kulingana na Maadili Yetu Kujali • Kazi Ya paMoja ... - Colgate

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kuongoza kwa Heshima

"Kuongoza kwa Heshima" ndiyo njia watu wa Colgate hutumia ili kuendeleza

maadili ya Kampuni.

Kwa Kuongoza kwa Heshima, tunaunda mazingira ambapo watu wanahisi huru kutoa mapendekezo,

kuchangia mawazo na kufanya michango kwenye shirika.

Kuongoza kwa Heshima huunda mazingira ambapo watu wanajali kuhusu wengine na wanafanya kazi

pamoja ili kufikia uwezo wao kamili.

Kanuni za Kuongoza kwa Heshima ni:

Wasiliana

Elezea mawazo waziwazi na kwa urahisi; wasikilize wengine; unda mazingira ambapo

watu wako sawa kusema mawazo yao; kuza mtiririko wa maelezo kwa wakati unaofaa na

unaoendelea kutoka na kuelekea kwa wengine.

Toa na Tafuta Maoni

Wainue watu wote wa Colgate kwa kutoa na kutafuta maoni mema na maalum; toa mwelekeo

na wasaidie watu kuzingatia kubaki imara; himiza mabadiliko mema na kuza kazi ya kipekee.

Thamini Michango ya Kipekee

Thamini na utambue michango na kazi nzuri ya wengine; heshimu ubinafsi wa kila mtu;

wahusishe wengine wakati wa kufanya maamuzi na kuimarisha vipaumbele. Kuwathamini watu

kwa utofauti wao ndio ufunguo wa kujenga na kudumisha ufanisi katika biashara sasa na katika

mustakabali.

Kuza Kazi ya pamoja

Jenga ahadi za malengo ya pamoja; tatua migogoro kwa njia nzuri.

Weka Mfano

Kuwa mfano mzuri wa kutekeleza biashara kwa njia ya kimaadili, usimamizi bora, na kwa

kuunda mazingira ya kikazi yanayopendeza na yaliyo na usawa.

Kampuni ya Colgate-palmolive 3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!