28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

100

Kwa hivyo katika Constitution, mapendekezo yangu ningependa hawa watu ambao walipigania uhuru, na watu waliokuwa nchi

hii, wachukuliwe kama watu, na wawe ni watu recognized, tuchukuliwe kama binadam.Ya pili, katika Parliament hawa watu

wanakwenda katika Parliament, wawe wakiangaliwa na Commission for two and a half years. Mtu akiwa ataonekana anafanya

kazi sawa sawa anaondolewa. Iwe Commission inaweza kuja kuangalia kama kazi yake ni nzuri, ile aliahidia watu.Ya tatu.

Mayor awe anachaguliwa na raia. Katika Constitution, pesa ya hawa watu ambao walipigania uhuru ifuatwe. Ilienda wapi

Iwe katika Commission ndani. Mimi ningependelea jambo hili la watu waliopigania uhuru liwekwe, na katika Districts sio tu

kuletewa watu wanasema walisikia uhuru, mtu alisikia uhuru na hajui uhuru ni nini Anakuja kuhubiria akiitwa madam madam

nini na bado sisi tuko hai, na tunaamini serikali. Kwa hivyo serikali ichukue sisi kama watu ambao walipigania nchi hii, kama

watu wazima, au watu ambao walijitolea juu ya nchi yao. Asante Bwana.Com. Ibrahim Lethome: Asante sana. Councillor

Cllr. John Ndugu: Mimi ni Cllr. John Ndugu Muthoi J.B. Yangu ni machache sana kwa sababu muda unakimbia. Ya

kwanza ni hawa watu ambao wanalisha mashamba ya watu wapewe adhabu kali kama penalty ya miaka mitano katika jela,

ikiwa hana ithini ya mwenye shamba, wale ambao wanalisha mashamba. Ili lingine, ni penalty iwe kali kwa wale watu ambao ni

wezi wa mifugo katika Laikipia nzima, wawekwe ndani kwa kipindi cha miaka kumi bila fine, kwa sababu hapo walikuwa

wakilipa ng’ombe na mbuzi tano kwa mbuzi moja au ngo’ombe tatu kwa ngo’ombe moja akiiba. Kwa hivyo hiyo ifanyike.Lile

ingine ningependekeza Chiefs and Assistant Chiefs wote waende kuwe na Council of Elders akiwa amechaguliwa na wananchi

wafanye kazi pamoja. Lile lingine ni DCs na DOs wabaki wakifanya kazi na hiyo Council of Elders. Na Provincial

Administration kama P.P.O, P.C, na P.M.O wote waondoke.Lile lingine ni kwa upande wa elimu; elimu iwe ni ya bure kutoka

nursery mpaka darasa la nane. Ili kuwezesha wale watoto ambao wanaranda randa hapa mijini na nyumbani kukaa bila

masomo, wapate nafasi hiyo, hata disabled wenyewe.Lile lingine ni vyama visiandikwe zaidi ya vitatu. Viwe vitatu na vizisidi

tano. Pendekezo lile lingine nikiwa hapa, ni citizen aangaliwe ni yule indigenous ambae alikuwa hapa 1890. Na yule mtoto

ambaye wazazi wake walikuwa hapa baada ya uhuru 1963.Lile lingine ni upande wa freedom and responsibility citizen. Hiyo

nayo limit ya individual freedom should be preserved of other persons freedom. Lile lingine ni la military: Mkubwa wa military,

na polisi na hao wengine should be head by Chief of General Staff na awe akiwa appointed na President. Lile lingine ni mambo

ya taxation: Kila mwananchi awe akilipa kodi ili kuwezesha serikali iendelee na matumishi yake kwa kila mwaka. Mkuu wa

Governor of Central Bank awe na authority yake mwenyewe, na right akitumia Katiba ya Parliament. Na awe akiwa appointed

na confirmed na Parliament. Chief Justice vile vile nae afanye kazi bila kuwa chini ya mwingine na awe vetted na appointed by

the President, na awe confirmed na Parliament.Attorney General vile vile ni namna hiyo, Controler ni vile vile na terms zao

zisizidi miaka 65 kwa ofisi. Kwa hivyo iende namna hiyo. Ile ofisi nayo ningetaka kuweka mkazo sana, ni office of the

Ombudsman. Hii ofisi sijui kama iko kwa Katiba, iwe kwa Katiba ili iwe ikiangalia maofisi haya yote nimesema hapo juu, ya

Attorney General na mengine yote, iwe ni ofisi tofauti ambayo investigate and complaints from the citizen inaangaliwa

kabisa.Corruption nayo vile vile hapa, imeonekana kama imekubaliwa na sheria na kwa sababu imemaliza nchi hii, yule ambaye

atakua ana hongana, na yule ambaye atahongwa, wanafungwa kifungo cha miaka zaidi ya mitano. Mambo ya President

imesemwa na wale wengine waliyekuwako, lakini yangu inasema awe na miaka 35 na aingie kwa ofisi miaka mitano na isizidi

terms mbili.Local Authority Chairman na Vice Chairman awe amechaguliwa na wananchi kutoka mashinani mpaka mwisho na

apite na kiwango cha kura zaidi ya 50%, na wakiwa zaidi ya wawili wafuatane namna hiyo. Wakiwa wamekuwa chini hiyo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!