28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

89

na hiyo itegemee mapenzi yawananchi. Isiwe lazima, kwa vile uongoza hautegemei masomo unategemea kipawa cha mungu.

Halafu maranches zilizoko nchini zigawie wasio na mashamba. Badala ya kupatia watu kwa maforest ambaye, ndio

tunaangalia kwa mvua ee. Ikiwa muda uliowekwa wa kuhudumu katika mbunge, ama urais umekwisha wa sasa wa miak

tano, muda uziongezwe.

Mtu akauwawa na mnyama, kama vile ndovu zinaua watu. Mwananchi kama huyo ikiwa ni agent ya (inaudible) kama

mahali wanyama wamefungiwa. Na zimetoka nje na kuuwa mtu huyo mtu alipwe kutoka miliono kumi. Na hiyo isiwe zaidi

ya mwezi mmoja kulipwa. Ile kitu ningetaka (inaudible) bwana mwenyekiti. Ni kuhusu mashamba. Kama vile sasa mimi

naona watu wengine wanatoka madistricts.

Kama district ya Samburu wanakuja hapa na kwao kuna mashamba huko ama Pokot. Watu wao wapewe mashamba huko

kwa sababu kuja kwao kwa upande hii ndio wanasababisha maafa mengi ya wananchi wakikuja kurusha mali sababu wako

free kutembea kila mahali. Wanauwa wanachi. Kwa sababu kuteukiwa na kitu kidogo mbuzi kidogo wanachukia mapenzi

yangu ni hawa watu wametoka Pokot ama Samburu. Kuna mashamba huko wagaiwe na wakae kwa mashamba yao, ili

hali hii ya kuendelea kila mahali iondoke kabisa. Hiyo ni hiyo inashangia mauaji ya watu. Nimeshukuru sana kwenu.

Com. Ibrahim Lethome Asante sana Bwana Gitonga. Kuna swali.

Com. Ibrahim Lethome Unakusudia kuwa mtu apewe land kwao sio kwingine Asipate land kwingine

Mr. Gitonga: Bwana mwenyeketi mimi nasema kwamba sababu ya maafa mengi yametokea katika area hii. Watu

wametoka Samburu, Pokot, Baringo mahali mingi. Wakikuja kulisha mali yao. Wakati wanalisha wanakuangalia una nini.

Ukipata mbuzi mbili tatu wanakuja wanachukua na hapo hapo unauwawa. Sasa hachukui mali peke yake, na kulisha

mashamba ya wananchi. ili kuzuia hayo mashamba kama ni district ya Samburu ugaiwe Wasamburu huko na waishi pale,

kama ni mahali kwingine wakae hivo. Ndio kusudi kuendelea kutembea kila mahli ipunguzwe.

Com. Ibrahim Lethome na land ya laikipia igaiwe kina nani

Mr. Gitonga: Kama ni wale wako Laikipia wagaiwe pia.

Com. Ibrahim Lethome Kina nani Be specific. Kina nani wagaiwe Laikipia

Mr. Gitonga: Hatuchagui ni kina nani ni wale wote wananchi wanaweza. Unajua hata wewe unaweza kununua shamba

huku ukiwa Msaburu Lakini mimi ninasema kwamba kwa sababu ya ongezeko la watu. Watu kutokamadistrict zingine

wakikuja hapa kulisha mifugo yao.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!