28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

103

go on. It should cease and in its place be taken over by a people development department headed by a District People

Development officer whose job would be to coordinate various activities of government departments and local authorities. He

will be an ex-official member of local authorities and chairman of the DC security committee. All in all this person will be the

most senior government person in the District or Municipality. He will be a university graduate majoring in Economics and

related subjects to be able to initiate direct development problems in an agro-economic set up, and start-off ‘jua kali industries’

etc.The Administration police could easily be merged with police service, issue sufficient communication apparatus and

transport to support the work of the government and also to wipe out lawlessness which is in most places of this country. All

crimes should be investigated and brought to book. Chiefs to be replaced by locational people’s committee officers, trained in

community work, prevention of crime and social studies, preferable at Kenya Institute of Administration to cope with prevalent

issues. Com. Ibrahim Lethome:

(Inaudible)Ms. Esther: But he is

just a--Mr. Sammy Ndung’u: Jina langu ni Sammy Ndung’u Chairman of the Freedom Fighters Laikipia District. Kitu ni

mapendekezo tu sio history.Maoni yangu ni haya: President awe akikaa ten years only. Five years, ten years akiwa anafanya

vizuri.Ya pili, pesa ya nchi ya nchi hii iwe na picture ya Kenyatta au ya Mt. Kenya. Ya tatu, how the Freedom Fighters

wanachukuliwa: Ikiwa katika new Constitution inaweza kusaidia wale watu ambao walipigania uhuru nchi hii, waondoe chaper

108 ya Parliament, chapter 108 ambao sisi tunachukuliwa kama magaidi, we are not taken as a responsible people. Hawa

watu walipigania nchi hii. Kwa hivyo maoni yangu ningependa hiyo mambo iwekwe katika Constitution, ya kwamba hawa

wanawake walipigania uhuru.Ikiwa ni mstari wa mbele wakati wa Jamuhuri Day, Ngei awe karibu, Kagia, Ochieng Oneko na

watu wengine walipigania uhuru, wawe ndio watu wa mstari wa mbele kuonekana, kwa sababu inaonekana sijui hawa watu

wanasema ni ‘dot coms’. Sasa sijui wanataka tumalizike, bila kuonekana watu wowote. Kwa hivyo katika Constitution,

mapendekezo yangu ningependa hawa watu ambao walipigania uhuru, na watu waliokuwa nchi hii, wachukuliwe kama watu, na

wawe ni watu recognized, tuchukuliwe kama binadam.Ya pili, katika Parliament hawa watu wanakwenda katika Parliament,

wawe wakiangaliwa na Commission for two and a half years. Mtu akiwa ataonekana anafanya kazi sawa sawa anaondolewa.

Iwe Commission inaweza kuja kuangalia kama kazi yake ni nzuri, ile aliahidia watu.Ya tatu. Mayor awe anachaguliwa na raia.

Katika Constitution, pesa ya hawa watu ambao walipigania uhuru ifuatwe. Ilienda wapi Iwe katika Commission ndani. Mimi

ningependelea jambo hili la watu waliopigania uhuru liwekwe, na katika Districts sio tu kuletewa watu wanasema walisikia

uhuru, mtu alisikia uhuru na hajui uhuru ni nini Anakuja kuhubiria akiitwa madam madam nini na bado sisi tuko hai, na

tunaamini serikali. Kwa hivyo serikali ichukue sisi kama watu ambao walipigania nchi hii, kama watu wazima, au watu ambao

walijitolea juu ya nchi yao. Asante Bwana.Com. Ibrahim Lethome Asante sana. CouncillorMichael Kiptur: Mimi kwa

maoni yangu ni machache sana kwa sababu muda unakimbia. Ya kwanza ni hawa watu ambao wanalisha mashamba ya watu

wapewe adhabu kali kama penalty ya miaka mitano katika jela, ikiwa hana ithini ya mwenye shamba, wale ambao wanalisha

mashamba. Ili lingine, ni penalty iwe kali kwa wale watu ambao ni wezi wa mifugo katika Laikipia nzima, wawekwe ndani kwa

kipindi cha miaka kumi bila fine, kwa sababu hapo walikuwa wakilipa ng’ombe na mbuzi tano kwa mbuzi moja au ngo’ombe

tatu kwa ngo’ombe moja akiiba. Kwa hivyo hiyo ifanyike.Lile ingine ningependekeza Chiefs and Assistant Chiefs wote waende

kuwe na Council of Elders akiwa amechaguliwa na wananchi wafanye kazi pamoja. Lile lingine ni DCs na DOs wabaki

wakifanya kazi na hiyo Council of Elders. Na Provincial Administration kama P.P.O, P.C, na P.M.O wote waondoke.Lile

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!