28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

49

bei nafuu na Serikali iangalie maslahi maanake hatuna bunduki sisi sio wanayang’anyi, lakini wale wanaokuja kutunyang’anya ni

wale brokers.

Point ya pili. Mifugo tuonayo inatoa maziwa ya kutosha, lakini ukizidisha mifugo ng’ombe, mbuzi hamsini, usiku huo huo hata ya

maziwa haibakii hata kuku na ukikataa roho yako inaenda.

Com. Ibrahim Lethome Pendekezo.

Mr. Muchai: Pendekezo ni wewe Bwana Commissioner uangalie, ukijiangalia tumbo yako au binafsi ya pesa yako, uandalie

hata mimi nimetunzwa maana roho yangu ni kali si sawa na roho zingine. Jambo la tatu nitatumia mfano wa yule tajiri. Akiona

ninaendelea vilivyo. Sisemi ni tajiri gani au la. Afadhali haungane roho yangu iende. Kwa hivyo utajiri wake uenee. Kwa nini

roho yangu iende Kwa nini yeye amehonga Mungu gani na mimi simuhongi

Com. Ibrahim Lethome Basi pendekeza.

Mr. Muchai: Na pendekeza.

Com. Ibrahim Lethome Unasema roho yake

Mr. Muchai: Roho yake, hata hivyo iende. Kama roho yangu iende basi hata yeye tajiri hataki niendelee tit for tat. Ya nne,

nayo inahusu MP. Hii gender ina kitu kimoja tu cha wiziri mkuu au (Inaudible) lakini zote kwa vile tuwa lucky au approximate.

Tunataka kupignia hii kiti na (Inaudible) tutamtuja Rais kwa kutopeteza. Raisi amechukua jukumu ya kumuweka mjaluo moja

hapo (Inaudible). Saitoti don’t talk I am coming to them. Sitaki kuongea Kizungu maanaake kunachezea msaha. Haya akikaa

anasema wewe Uhuru unajua baba yake ndio alinipatia alinigawia mali kidogo, alinigawia dunia hii na kumbe, na wewe kalia kiti

a-a wewe kijana. Kwa hivyo bwana Commissioner nimewachekesha wenzangu huko nyuma kwa hivyo nisamehe kwa hivyo

katika hii Bunge wanaonekana wana kiti kimoja tu wamekalia na kama Mungu akipenda si kitaenda na huyu mwingine.

Mwisho wake.

Com. Ibrahim Lethome Asante sana. Bwana Muchai andika jina kule. Joseph Maina. Michael Murithi . Ah Joseph Maina

amefika. Peter Maina just go ahead since you are already here. Your ame in the microphone. Take the micropone.

Peter Maina: Bwana mwenyekiti, mimi naitwa Thomas Mzee. Mimi napendekeza ya kwamba, sisi tuliponyakua uhuru hapa

Kenya, tuko watu kabila mbili Bwana Mwenyekiti. Kabila moja inaitwa landlord. Kabila lingine linaitwa squatters. Bwana

mwenyekiti napendekeza kwamba wale viongozi walianza Kenya hii, ikianzishwa ni Mzee Jomo Kenyatta, napendekeza ya

kwamba ile mashamba ambao Mzee Kenyatta alinyakua Kenya hii irundishwe kwa wananchi ambao aliwaita ma-squatters.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!