28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

93

Mr. Mayaka: Ningependekekza hii pesa mahali ilitengenezwa hii ya kukuja juu ilitolerwa iwekwe. Sheria ikuwe juu

kwanza. Mwananchi ategemee sheria kabla ya pesa. Bila hiyo upinzani hautakwisha kenya. Watoto kila mwananchi

anasomesha watoto wake na taabu kwa nyuma na huyo mtoto anapeleka hadi form six. Hakuna mtoto anapata kazi. Na

kuna mwingine anasomeshwa hata mtoto wa std eight na watoto wake mpaka form six na hana nyumba.

Serikali ile iko na ile tutachagua na ile itakuwako itupe macho kea wakulima isaindie wakulima kwamaana bila wakulima

hakuna nchi. Na akilima na anatafuta pesa hata anaenda kwa jirani yao, familia yao anapanda kila kitu. Mahindi yakaanza

kutoa kichwa hiyo wanyam wanakuja wanaharibu yote na mtu anabaki maskini. Pendekezao yangu nilionelea kama iko

uwezo kwa Serikali wakiandika kazi itaenda hapo kwa watu. Ikitaka watu kama ni wa kupiga kura inaenda hapo itaitisha

watu. Kwa hivyo wanyamahawaitishi kura. Hawapigi kura. Kwahivyo tusaidiwe kwanza kwa ni wananchi ndio wanapiga

kura sio wanyama.

Ya mwisho ni hali ya miti ya forest. Mti nikipedekeza kama iko na uwezo kwa maana miti

(inaudible) Kenya

pahali nyingi. Wale agriculture kama iko uwezo wapewe kazi ya kwenda kila shamba ya mtu kwa sababu imekuwa kidogo.

mtu ndo tuweze kupanda miti.

Com. Ibrahim Lethome Asante Bwana Mayaka. Umemaliza. Hatuna swali basi nenda ujiandikishe pale tumeshukuru

sana. tumesikia bondeni tumeigia. Bondeni church na Bondeni Primary. Kwa hivyo Bondeni church mbele. Sema majina

halafu ueleze mambo yako kwa dakika tano.

Florence Wanjiru: Jina langu ni Florence Wanjiru Mojano. Kabla sijatoa maoni yangu ningetaka kuuliza

(Inaudible) katika commission ya kurekebisha Katiba iongezwe muda. Sijui kama mtaenda kutujibu mambo yako kwa

dakika tano.

Com. Ibrahim Lethome Leo hatuko shuguli hiyo. Toa maoni yako ni mambo ambayo yako nje ya hii kikao. Maoni yako

kulingana na Katiba tuko tayari hapa sasa. Si bando tuko kazini hapa.

Ms. Florence Wanjiru: Nilikuwa nataka kuuliza--

Com. Ibrahim Lethome Tufanye kazi kwanza.mambo ya siasa mingi wacha nje toa maoni.

Ms. Florence Wanjiru: Haikuwa sias ilikuwa tu.

Com. Ibrahim Lethome Tumesema swali hatujibu sasa nyinyi ndio mzungumzao.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!