28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

95

On healthcare ningependelea sababu tumekuwa na problem ya health care, kila wakati wanateta sababu ya mishahara. Hata

kwa sababu corruption nyiongi iko kwa health: madawa yanapotea na shida kama hiyo. Sasda ningependekeza nurses na

wale health workers wapatiwe mishahara mzuri ili wafanye kazi mzuri sababundio wanatumikia watu wengi. Kama vile

waalimu wanatumikia watoto.

Security kunakuwa na shida nyingi hata watu wa security wengi wamekuwa involved kwacriminal offenses ningependekeza

hawa watu wapatiwe mishahara mizuri pia ili waache kujihusisha na corruption. Kitu kidogo. iwe ule mshahara wanapata

mizuri pia ili napia kama kuna security mahali, yule mtu incharge kunakuwa na commission ya kuchunguza hiyo shida ya

insecurity inatoka wapi. Na public kwa sababu ndiowanajua wezi nnio wanajua wakora. Wanatoa maoni kuhusu hiyo

commission ili kama ni yeye amesababisha hii maneno basi sheria inachukua mikono yake.

Water to be collected na hii maji imekuwa collected itumike wakati wa kiagazi. Kwa hivyo tutakuwa tumepunguza

upunguvu wa chakula tumecreate jobs, vijana wetu wanapata kazi. Kwa sababu maji ya irrigation inacreate job na pia

tutaiendelea poverty na tutaincrease food production sababu haversting of watter. Summary.

Com. Ibrahim Lethome Jambo la mwisho.

Mr. Maina: Jambo la mwisho. Ningeuliza katika nchi hii maboyakuongeza bunge. Hii mambo tuliandika watu kwakura na

hawastahili kujiongeza siku zakazi. Kama sikuk zao zimekwisha. Na ile muhimu warudi sisi tumchague hawa tena tuandike

hawa kazi tena. Mambo yakujiongezea mashahara na kujiongezea siku za kazi hiyo tuseme hakuna asante.

Com. Ibrahim Lethome Asante Bwana Maina kwa maoni yako. Enda ujiandikishe pale. Joseph Kingori. Hayuko,

Gichuru Gathuo. Gichuru Gathuo. Karibu mzee. Dakika zako tano.

Gichuru Gakoromio Gathuo: Jina langu ni Gichuru Gakoromio Gathuo. I have got a few points to higlight here. And one

is the life of MP should not be more than 3 terms of five years each. Chiefs and ass. Chiefs should be (inaudible0 for five

years. they must be electedby the wananchi. the president should have two terms of four years each. It has to be a sole

election. What I ama trying to say here is that he should not go as part of election of the Parliamentarian and the councillors.

It is a very big decision which cannot be made within a second when somebody goes in the ballot box.

The appointments of the minister should be approved by the parliament. There should be a system. Before minister

disapprove a parliament shouldalso give an okay to that post. Marriage and divorces women are very much fighting for

their rights. I would suggest that, we should not so much emulate the western people. because even themselves they are not

very successful in marriage. What I am trying to tell you honorable commissioners is that when the divorce comes there

should be 50, 50 sharing of the property. But inmost cases you find that there are some people who can have tht as a

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!