28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

34

nayo inahusu MP. Hii gender ina kitu kimoja tu cha wiziri mkuu au (Inaudible) lakini zote kwa vile tuwa lucky au approximate.

Tunataka kupignia hii kiti na (Inaudible) tutamtuja Rais kwa kutopeteza. Raisi amechukua jukumu ya kumuweka mjaluo moja

hapo (Inaudible). Saitoti don’t talk I am coming to them. Sitaki kuongea Kizungu maanaake kunachezea msaha. Haya akikaa

anasema wewe Uhuru unajua baba yake ndio alinipatia alinigawia mali kidogo, alinigawia dunia hii na kumbe, na wewe kalia kiti

a-a wewe kijana. Kwa hivyo bwana Commissioner nimewachekesha wenzangu huko nyuma kwa hivyo nisamehe kwa hivyo

katika hii Bunge wanaonekana wana kiti kimoja tu wamekalia na kama Mungu akipenda si kitaenda na huyu mwingine.

Mwisho wake.

Com. Ibrahim Lethome Pendekeza, unapendekeza nini

Mr. Njuki: Napendekeza hivi: nitafafanua kama mimi ni kasisi mmoja tu mimi sioni haja mtu anipige yale nimehubiri nimehubiri

natosha naondoka.

Com. Ibrahim Lethome Lenaola: Sio hivyo bwana, unajua tumekuja kuzungumza wazi wazi, na professor alipoaanza hiki

kikao alisema leo ni siku ya kusema wazi wazi sheria ina kulinda. Rais wa kuondoka mambo ya transfer of powers

unapendekeza kitu gani> Awaambie watu wengi ama afanye vipi wacha kuleta mambo ya kasisi sasa Sema President

akiondoka, au wakati wake ukifika wa kuondoka iwe namna gani

Mr. Njuki: Bwana Commissioner na wananchi ni huyu Rais amuendeshe makamu wake pole pole hadi kuondoka kwa kiti,

maanaake tumeona South Africa Mandela, tumeona (Inaudible), Nyerere. Yangu yamekwisha.

Com. Ibrahim Lethome Asante sana bwana Njuki. (Inaudible) Peace Club. No Peace Club (Inaudible) hapa….. Oh you

are there. How many memorandums do you have

Speaker: They are two.

Com. Ibrahim Lethome They are two, okay you will take to the table. We will start with you. Give us your names and

summarize.

Henry Mwangi: My names are Henry Mwangi.

Com. Ibrahim Lethome You have 2 ½ minutes, 2 ½ minutes for the two.

Henry Mwangi: One, Our Constitution must have a Preamble. Second one our citizenship: we should allow dual citizenship.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!