constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
45

Mr. Makimei: Uguo na mbere ningi hiti ichi igwitwo njogu. Niituikariire.

Translator: Upande wa wanyama: ndovu wanasumbuka wananchi sana.

Com. Ibrahim Lethome Ndovu inaitwa fisi.

Mr. Makimei: Nyamu ciothe ni nyamu.

Translator: Wanyama ni wanyama tu.

Mr. Makimei: Niundu waguo ri kai twakiritwa nu.

Translator: Kwa hivyo tunauliza usaidizi na turudiwe.

Mr. Makimei: Riu ningi ri Twatuika ng’ondu itari murithii. Omundu enda mundu tukaigwo Kimani ekuragwo.

Translator: upande mwingine tunakaa kama kondoo ambao hawana wachungaji. Tunakaa tunasdikia Kimani ndio huyo

ameuwawa.

Mr. Makimei: Tukaigua chege ni murage.

Translator: Chege ameuwawa.

Mr. Makimei: umuthi turaire tutari toro ni mbu

Translator: ati leo hawakulala kwa sababu ya nduru.

Mr. Makimei: Undu ucio kae tutari aitiriri

Translator: Kwa hivyo tunauliza security iwe katika nchi yetu.

Mr. Makimei: uguo mungienda tuteithia tutige guitagwo o umwe o umwe ta hiti igikua mburi o imwe.

Translator: Kwa hivyo tunauliza security iwe katika nchi yetu.

Mr. Makimei: Uguo niguo ngumuragia mwitikire

Translator: ni wega.

Translator: Niwarikia

Speaker:

Mr. Makimei: Ni twetikira, haria hangi ngukiuga atiriri. Ende kurutwo ri. Acokaga kuri mwandiki. Kana athiaga.