28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

104

lingine ni kwa upande wa elimu; elimu iwe ni ya bure kutoka nursery mpaka darasa la nane. Ili kuwezesha wale watoto ambao

wanaranda randa hapa mijini na nyumbani kukaa bila masomo, wapate nafasi hiyo, hata disabled wenyewe.Lile lingine ni vyama

visiandikwe zaidi ya vitatu. Viwe vitatu na vizisidi tano. Pendekezo lile lingine nikiwa hapa, ni citizen aangaliwe ni yule

indigenous ambae alikuwa hapa 1890. Na yule mtoto ambaye wazazi wake walikuwa hapa baada ya uhuru 1963.Lile lingine ni

upande wa freedom and responsibility citizen. Hiyo nayo limit ya individual freedom should be preserved of other persons

freedom. Lile lingine ni la military: Mkubwa wa military, na polisi na hao wengine should be head by Chief of General Staff na

awe akiwa appointed na President. Lile lingine ni mambo ya taxation: Kila mwananchi awe akilipa kodi ili kuwezesha serikali

iendelee na matumishi yake kwa kila mwaka. Mkuu wa Governor of Central Bank awe na authority yake mwenyewe, na right

akitumia Katiba ya Parliament. Na awe akiwa appointed na confirmed na Parliament. Chief Justice vile vile nae afanye kazi

bila kuwa chini ya mwingine na awe vetted na appointed by the President, na awe confirmed na Parliament.Attorney General

vile vile ni namna hiyo, Controler ni vile vile na terms zao zisizidi miaka 65 kwa ofisi. Kwa hivyo iende namna hiyo. Ile ofisi

nayo ningetaka kuweka mkazo sana, ni office of the Ombudsman. Hii ofisi sijui kama iko kwa Katiba, iwe kwa Katiba ili iwe

ikiangalia maofisi haya yote nimesema hapo juu, ya Attorney General na mengine yote, iwe ni ofisi tofauti ambayo investigate

and complaints from the citizen inaangaliwa kabisa.Corruption nayo vile vile hapa, imeonekana kama imekubaliwa na sheria na

kwa sababu imemaliza nchi hii, yule ambaye atakua ana hongana, na yule ambaye atahongwa, wanafungwa kifungo cha miaka

zaidi ya mitano. Mambo ya President imesemwa na wale wengine waliyekuwako, lakini yangu inasema awe na miaka 35 na

aingie kwa ofisi miaka mitano na isizidi terms mbili.Local Authority Chairman na Vice Chairman awe amechaguliwa na wananchi

kutoka mashinani mpaka mwisho na apite na kiwango cha kura zaidi ya 50%, na wakiwa zaidi ya wawili wafuatane namna hiyo.

Wakiwa wamekuwa chini hiyo uchaguzi irudiwe. Education iwe ni ‘O’ level na awe ni mtu ambaye anatabia nzuri. Na miaka

yake nayo iwe 35 mpaka 75. Hesabu ya kura ihesabiwe yote ya President, ya Local Authority na Parliament, yote ihesabiwe

kwa station ile ambayo imetupiwa, after six O’ clock. Kwa hivyo hii document nimepatia Commission to peruse it for further

recommendation. Thank you.Com. Ibrahim Lethome: Sasa yule mama nilikuwa nimesema ndiye wa mwisho, ameona

atapeana memorandum yake bila kuzungumza. Nafikiri sasa kila kitu ambacho kina mwanzo kina mwisho wake. Huu ndio

mwisho wa kikao chetu cha leo. Na tungependa kwanza kabisa kuwashukuru wananchi wa Rumuruti kwa vile mmejitokesha

kwa wingi, tumepata maoni ya hali ya juu sana. Kisha tunawashukuru ile kamati ambayo imeshugulika na kutayarisha kikao hiki

na kufanya mobilization, Jane na wenzake, is it Pricilla ama ni Pascaline. Tunawashukuru sana kwa ile kazi ambayo

mmefanya, kijana ambaye alikuwa anashika micro-phone na kufasiri, na wengine wote ambao wako hapo na wengine ambao

hawako hapa, tunawashukuru sana. Kule kuote tumeenda hatujaona mobilization ya hali ya juu kama ile ambayo tuliona jana na

leo. Nyahururu sijui lakini Kinamba ninajua, it was very high mobilization, helicopter pia ilisaidia kuleta watu zaidi. Hapa leo pia

nimefanya kazi ya hali ya juu asubuhi tulikuwa tunaogopa hakuna watu. Na pia nawashukuru wenzangu Jane na Dan kwa

kusubiri mchana mzima. Sasa tungetaka kungependa kufunga kikao hiki kwa kumuomba mtu mmoja katika kamati ya watu

walio hapa kama kuna neno lolote ambao mngetaka kusema. Jane do you have anything to say before we close Because the

District Coordinator is not here, you have to say something.Jane W. Machira: Ningechukua ruhusa hii ya kuwarudishia

asante. Wale wameenda na wale wamebaki, tafadhali watu wote ambao walikua kwa kikao hiki, the Commissioners na sisi

Watu wa Centre for Conflict Resolution, tumefurahi sana na tumeona kazi ile tumefanya. Wale watakua wakienda nyumbani

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!