28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

105

wakati huu, tafadhali warudishieni asante na tumeshukuru sana kwa ile kazi mmefanya ya kushinda na sisi hapa. Commissioner

wetu mmesikia amesema ni asante sana. The staff with the Commissioner, wamefurahi sana tumeongea na mmoja wetu Jane na

amesema hiki ni kikao kimekua kizuri zaidi, wamefurahia zaidi. Asante sana Mr. Commissioner na asante staff wa CKRC

Kenya. Wakati huu, tupate mtu mmoja wa kutuendesha kwa maombi, ndio Mr Commissioner

Com. Ibrahim Lethome: Ndiyo.

Pastor Lebaleiya: Basi kila mtu atulie na tuwe na wakati wa heshima kwa Mungu tukiomba, tuombe.

Tunashukuru sana Mungu wetu. Kwa sababu ya wema wako. Tunakushukuru kwa sababu yasiku hii njema. Umetunjalia tuwe

na siku mzuri. wananchi wa area hii wameweza kutoa maoni yao kwa commissioners nao pia umewapatia uwezo wa kuandika

na kuweka vizuri maoni yao. Tunashukuru kwa sababu wakati mzuri. Hivyo basi mungu wetu tunakurudishia shukurani.

Tunaomba kwamba maoni hayo yetu, yaweze kufika mahali ambapo inafaa. Na hatimaye tuwe na constituion au Katiba

ambayo inaweza kushugulikia wananchi wa kenya ipasavyo.tunaombea wananchi wote safari njema wanaporudi. Na hata

wageni wetu commissioners hawa tunawaombea safari mzuri hata tunaposhugulika mahali pengine. Mungu wape afya njema

nawakati mzuri ili waweze kutumikia wananchi wa kenya. Na hata wengine wanaposhugulika mahali kwingine taifa letu. Mungu

tunaomba ya kwamba utawatumia vizuri. Ni asante kwa sababu kwamba utatupa Katiba mpya baada ya shuguli hii yote. Ni

asante Mungu wetu kwa sababu umeshasikiamaombi yetu. Haya tunaomba katika jina la baba, na la mwana, na roho

Mtakatifu. Amen !

Jane W. Machira: Wananchi msikie.kesho kutakuwa na maoni huko.

The meeting ended at 5.30 p.m.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!