28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

90

Com. Ibrahim Lethome Hujibu, hujajibu swali langu, Laikipia igaiwe kina nani Ukisema Samburu agaiwe

Samburu.Pokot agiwe Pokot . sidio umesema hivo. Na Laikipia igaiwe nani

Mr. Gitonga: Kwa hapo, nifafanua sikuta kwamba. Sikubagua kabila yoyote. Maana ake tuna wao wako hapa Laikipia.

Lakini kuna wengine wanatoka mbali wanakuja kuleta mali yao hapa. sasa mimi nilikuwa na maanisha hivi. Ikiwa kwa kila

mtu. Akiwa kamani Samburu wapew mashamba sababu hakuna mashamba huku. Watu wanakaa temporary. Na kwa vile

wana kaa temporary hata wale walioko mashamba Igawe na wapewe mashamba yao wapate mahali pa kuishi.

Com. Ibrahim Lethome Asante. Asante Bwana Gitonga nenda pale ujiandikishe. Waturi. Joseph Mwangi x2 yuko.

Karibia karibia mzee keti pale. Kaa hapo kaa hapo tu.

John Waitii Waibicha: Ni John Waitii Waibicha.

Speaker: Ngoja kidogo.

Speaker Thii na mbere.

Mr. Makimei: Ngugaga atiriri. Undu ndaiguire mtutigaire auga atiriri gutiri kindu gia tuhu

Translator: Alisikia marehemu akisema hakuna cha bure.

Com. Ibrahim Lethome Marehemu ni wengi sana ni yupi

Mr. Makimei: Ni Kenyatta.

Translator: Marehemu Kenyatta.

Mr. Makimei: Oiga gutiri gia tuhu.

Translator: Aliposema hakuna cha bure.

Mr. Makimei: tukigura migunda.riu niniii member wa mugunda na ndiri na mugunda wakwa uikaritwo ni

thamburu. Uria ungi ugaikarwo ni mumuko kuria Gilgil.

Com. Ibrahim Lethome Urenda twike atia

Translator: Mm.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!