28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

24

Point ya pili. Mifugo tuonayo inatoa maziwa ya kutosha, lakini ukizidisha mifugo ng’ombe, mbuzi hamsini, usiku huo huo hata ya

maziwa haibakii hata kuku na ukikataa roho yako inaenda.

Com. Ibrahim Lethome Pendekezo.

Mr. Njuki: Pendekezo ni wewe Bwana Commissioner uangalie, ukijiangalia tumbo yako au binafsi ya pesa yako, uandalie

hata mimi nimetunzwa maana roho yangu ni kali si sawa na roho zingine. Jambo la tatu nitatumia mfano wa yule tajiri. Akiona

ninaendelea vilivyo. Sisemi ni tajiri gani au la. Afadhali haungane roho yangu iende. Kwa hivyo utajiri wake uenee. Kwa nini

roho yangu iende Kwa nini yeye amehonga Mungu gani na mimi simuhongi

Com. Ibrahim Lethome Basi pendekeza.

Mr. Njuki: Na pendekeza.

Com. Ibrahim Lethome Unasema roho yake

Mr. Njuki: Roho yake, hata hivyo iende. Kama roho yangu iende basi hata yeye tajiri hataki niendelee tit for tat. Ya nne,

nayo inahusu MP. Hii gender ina kitu kimoja tu cha wiziri mkuu au (Inaudible) lakini zote kwa vile tuwa lucky au approximate.

Tunataka kupignia hii kiti na (Inaudible) tutamtuja Rais kwa kutopeteza. Raisi amechukua jukumu ya kumuweka mjaluo moja

hapo (Inaudible). Saitoti don’t talk I am coming to them. Sitaki kuongea Kizungu maanaake kunachezea msaha. Haya akikaa

anasema wewe Uhuru unajua baba yake ndio alinipatia alinigawia mali kidogo, alinigawia dunia hii na kumbe, na wewe kalia kiti

a-a wewe kijana. Kwa hivyo bwana Commissioner nimewachekesha wenzangu huko nyuma kwa hivyo nisamehe kwa hivyo

katika hii Bunge wanaonekana wana kiti kimoja tu wamekalia na kama Mungu akipenda si kitaenda na huyu mwingine.

Mwisho wake.

Com. Ibrahim Lethome Pendekeza, unapendekeza nini

Mr. Njuki: Napendekeza hivi: nitafafanua kama mimi ni kasisi mmoja tu mimi sioni haja mtu anipige yale nimehubiri nimehubiri

natosha naondoka.

Com. Ibrahim Lethome Lenaola: Sio hivyo bwana, unajua tumekuja kuzungumza wazi wazi, na professor alipoaanza hiki

kikao alisema leo ni siku ya kusema wazi wazi sheria ina kulinda. Rais wa kuondoka mambo ya transfer of powers

unapendekeza kitu gani> Awaambie watu wengi ama afanye vipi wacha kuleta mambo ya kasisi sasa Sema President

akiondoka, au wakati wake ukifika wa kuondoka iwe namna gani

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!