constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
50

Tuna Serikali lingine ni ya mtukufu Raisi Arap Moi. Yale mashamba ambao mtukufu Moi amechukuwa wakiwa na wale

wanamzunguka. Napendekeza ya kwamba irundishwe ma-squatters ambao hawa ndio walipandika jina masquatters. Bwana

mwenyekiti napendekeza ya kwamba hawa wanyakuzi wa mashamba kila mmoja wao ambaki na 50 acres.

Bwana mwenyekiti ni hali ya pesa. Kuanzia wakati wa hayati Mzee Jomo Kenyatta aliharibu Serikali ya Kenya. Akachukua

pesa akapeleka nje. Bwana mwenyekiti nbapendekeza kwamba zile pesa zilipelekwa nje zirudishwe hapa Kenya hata kama ni

Uhuru aitishwe hizo pesa zitumiwe na hao wananchi.

Jambo la tatu ikiwa wewe ni daktari ama ni mwalimu napendekeza ya kwamba dakatari aongezwe mshahara ili sisi tukiwa

wananchi tukienda katika hospitali tunaambiwa hakuna dawa. Huyu daktari kwa sababu amenyimwa mshahara ya kutosha

anaweka hospitali yake pale anachukua madawa anakuandika “hospitali” yake. Sheria irekebishwe. Wasiruhishiwe kuweka

hospitali yoyote katika Kenya.

Jambo la mwisho Bwana mwenyekiti ni hili. Katika Kenya watu wengine wamekuwa matajiri. Wananyanyasa wengine. Kuna

pombe inaitwa changaa kuna inaitwa busaa. Bwana mwenyekiti pombe ni pombe. Bwana mwenyekiti nikumangalia hapa hata

mimi sioni kama mna matumbo ile inatolewa na wengine. Mimi naona ninyi ni watu wa kawaida. Labda nyinyi mmetolewa

katikati baba zenu na mama zenu ni wa changaa. Wamewasomesha na hiyo kitu kinadharuliwa na matajiri. Mimi napendekeza

ya kwamba katika Kenya hii kwa sababu watoto wetu tumesomesha na changaa na busaa pombe yoyote isiwe na madaraka

ipigwe marufuku. Na hilo ndilo la mwisho bwana mwenyekiti.

Com. Ibrahim Lethome: Asante sana Bwana Maina . Okay Michael Muriithi.

Michael Muriithi: honorable commissioners. My names are Michael Muriithi. And I am here presenting my views on behalf of

the catholic church. For the national shifters …………… (inaudible) as a Parliamentary candidate in this constituency,

Honourable Commissioners, Coordinators to the Constitutional review, these are my views. They are personal views. What

we are talking about here, views presented by Permisio Wangai Ngari to the Constitution of Kenya Review, to summarize this

is one review during the Constituency hearing at Kinamba. People of Kenya are looking for a Constitution that will give them

their property. A security of their property and animals.

In this region we have a lot of problem with the security and the biggest problem we have the armed people around us. We

have the Pokot who are armed, we have the Turkana with arms, we have the Tugen with arms. The only one community here I

am sorry to say the Kikuyu are not armed and you are surrounded by that type of people. in some area like Kuremarani and

Tumuruti you cannot keep an animal. You cannot keep a cow or a goat if you don’t come from these pastoral tribes. So we

want the Constitution that will empower people …………… (inaudible) even if it means we open shops for guns. Let us get