constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
9

Com. Ibrahim Lethome (inaudible) is not there. Gospel Tabernacle. You have a memorandum

Speaker: Niko nayo kidogo.

Com. Ibrahim Lethome Please summarize it. Give us your name.

Pastor Joseph Macharia: Pastor Joseph Macharia. Gospel Tabernacle Churches of kenya. Asante commissioners. Yangu

nina address kwa Kiswahili kwa kuwa sijasoma sana. niko na masomo kidogo. Ninaenda kuhusu powers of president. Hii

inaitwa execess powers. Ama guvu ambazo sinapita kiasi. Ninaye ya coalition government ama Serikali ya umoja. Ninaye ya

ku-create viti kama ya prime minister, na deputy prime minister, first vice president, deputy vice president. na niko na academic

ya shule za mizingi std one std seven.

Ningependa kuguzia sasa ya presidential powers. Ama nguvu za rais. katika ma rais ambao tumewahi kuwa nao ni wa kwanza

Jomo Kenyatta na wapili huyu ambaye tuko naye sasa. Kwa kuhusu kuwa na nguvu nyingi kiserikali. Inawaletea watu kupata

tena wanaumizwa na nguvu nyingi. Ni maoni ya kanisa. President asiwe akiwa juu ya sheria na Katiba hasa nchi ya kenya. Awe

akiongoza akiwa chini ya mjimbu wa Katiba ya nchi ya Kenya. Akifanya kosa lolote yeye anashikwa pia kama vile ninaweza

kushikwa. Na vile vile prime minister asiwe juu ya Katiba. Na pia deputy prime minister. Na pia first vice president na hata

deputy president na vice president wake. Kwa kuwa nguvu nyingi sinafanya watu waumizwe.

Ile ingine ni ya academic. Shule zetu. Kulingana na vile economic ya nchi ya kenya inakua pole pole. Kungekuwa na sheria

ambayo inaruhusu watoto wetu kusoma. Kwa maana wazazi walioko na economy ambayo iko. Inatunyima nafasi kusoma kwa

vitu ambavyo vinahitajika ili mtoto asome. Ni vizuri kuwe na sheria watoto wetu wasome bure. Kuanzia standard one mpaka

std seven. Serikali inatafuta jinsi ya kufinance school equipment. Kama vitu ambavyo vinahitajika kusomesha. Zenye

sinahitajika na mwalimu. Na zenye sinahitajika hata kwa mtoto. Kanisa ingeonelea kuwe na jinsi ambavyo watoto hawa

watasoma hivo na Serikali itafute kama hizo pesa zitakuwa zikitoka kwa donors ili waweze kupatia school equipments scheme.

Ama sikiwa aitatoka kwa taxes. kwa kuwa tunakuwa taxed. Na zile tunakuwa taxed nazo zinaenda kwa parliament, mabunge

wanakuwa na pesa nyingi na kule shule hakuna facilities za kutosha.

Com. Ibrahim Lethome Na pendekezo lako ni

Pastor: Katika academic

Com. Ibrahim Lethome Mh.

Pastor: Tuwe na Katiba ambayo inaruhusu Serikali kununua hizi vitu na viwe pale kwa shule.