28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

48

Mr. Makimei: Ni twetikira, haria hangi ngukiuga atiriri. Ende kurutwo ri. Acokaga kuri mwandiki. Kana athiaga.

No ongererwo matuko mwena ungi na ndacoke kwi raiya yamuthurire mbungeine.

Translator: Jambo lile lingine ni, mwajiri kazi ikisha yeye hawezi kujilazimisha kuendelea na kazi.

Mr. Makimei: uguo noguo nguragia

Translator: na amatosheka

Com. Ibrahim Lethome Ni thengiu muno muthee. Joseph Mwangi. Hi muthee. Laikipia High Power animal karibia

karibia hapa. sema jina halafu endelea.

Stephen Muchai: Asante Mabwana Mabibi Commissioners. Sikusoma sana…

Com. Ibrahim Lethome Endelea tu. Jina kwanza.

Mr. Muchai: Stephen MuchaiMkulima. Yangu ni moja mbili tatu hivi. Mimi ninavyosikia hapa ngarua. Na hivyo ninaanza

Commissioners. Katiba hii yetu ya Kenya (Inaudible) lakini kuhusu ule mtu. Katiba Kinamba hadi rimuruti ni kama kilometers

23 na hatuna watu wa kuweka lami tangu tulipofika kanamba town mwisho.

Com. Ibrahim Lethome Pendekeza pendekezo.

Mr. Njuki: Pendekezo langu naona kila nilipoingia hapa tangu 70 naona watu wanakuja wakati hii siasa inakaribia na kuniuliza

mbona mjaja na mna hii mbona hutaki kunitupia kura. Na akisha ingia huko Bunge basi blanketi mwisho. Kwa hivyo ni sijui ni

vimbo lake kavu au ni mashujani kwangu mimi nina nyanyazwa. Barabara ukienda Thubiri na ndio soko yetu kubwa. The

international market. Na kwa hivyo wewe Commissioner kama ukiwa ulipitia habari za Commission yake ulipata wa nyanya

leo. Wakongwe kabisa. Wana jikakamua hawana chakula.

Com. Ibrahim Lethome Wapi pendekezo Barabara ……

Mr. Muchai: Barabara iwekwe lami kutoka hapa ishikane na ya Rumuruti hapa ikiweza kuwa headquaters. Mwisho wa

pendekezo.

Com. Ibrahim Lethome Endelea.

Mr.Muchai: Jambo lingine la pili, Commissioner naomba Commissioner, mazao yetu hapa ni second in Kenya Kitale. Lakini

tunaouzia ni walaghai wananau jioni wanakuja wa nabembe ile ile pesa tuliliokuwa nayo. Tuliuza kilo 90. kwa hivyo tutafutiwe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!