28.12.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

92

Speaker:

Mr. Makimei: Ni twetikira, haria hangi ngukiuga atiriri. Ende kurutwo ri. Acokaga kuri mwandiki. Kana

athiaga. No ongererwo matuko mwena ungi na ndacoke kwi raiya yamuthurire mbungeine.

Translator: Jambo lile lingine ni, mwajiri kazi ikisha yeye hawezi kujilazimisha kuendelea na kazi.

Mr. Makimei: uguo noguo nguragia

Translator: na ametosheka

Com. Ibrahim Lethome Ni thengiu muno muthee. Joseph Mwangi. Ii muthee. Laikipia High Power animal karibia

karibia hapa. sema jina halafu endelea.

Joseph Mwangi: Asante sana mzee. Langu kwanza ningeuliza Serikali itakayosimamia madaraka ya Kenya,

ningependekeza kwanza wachunge wasichana. Hii inaonyesha wanaharibiwa wakiwa wadogo sana na walaghai. Na watu

wasio na huruma kwa watoto. Hiyo imani udhi kabisa. Maana siku tu ukilala. Unasikia mtoto. Nyumba imefunjwa mtoto

ameshikwa mama ameuwawa infront of yopu. Vibaya sana hiyo ningeulizas kenya raping ifaliwe kama vile mtu anaua.

La pili nikizungumzia mahali hapa katika Ngarua, misitu imeharibiwa kabisa. Na hii imesemwa na wengi na ni ukweli

kabisa, hakuna misitu imeharibika kwa hivyo mvua imekuwa hakuna turudishe msitu vile ilivyokuwa mbeleni. Wakulima

wapatiwe mikopo. Hapo ningetaja zaida kwa maana hakuna mtu anashugulikia na wakulima.na watoto wao hawawezi

kuendelea shule kwa ajili ya kufukuzwa kila siku kwa ajili ya matumizi kidogo kidogo kutoka kwa shule.

Upande mwingine ni

(inaudible) niko na shamba huko. Lakini siwezi kulima hiyo shamba kwa ajili ya

ku[pigwa. Nauliza tunaweza kusaidiwa namna gani ili yale mashamba yale na tuliyanunua na watoto wetu. Sasa Serikali

itupatie more security kwa upande ule. Watu wa aina mbali mabali wakiwa wa kabila gani dini gani, ukoo wasiwe na vitu

vya vita. Kama hapa hakuna mtu ako na vitu vya vita. Wasiwe na vitu vya vita ambavyo vinatumika wakati wowote kuua

watu. Ningeuliza Serikali kama mtuanataka kuopatiwa kitu cha kujikinga nacho vita apatiwe license na Serikali sawasawa,

na tumjue ni nani badala ya hivyo tulivyo.

Katika upande wa maendeleo katika upande wetu wa Ngarua iwe distributed kila mahali ili watu wetu wote wasaidike.

Hapa tuna kabila tunaka na makabila mengi na na ninashukuru Mungu kwa sababu ya hiyo. Akionekana mtu wa aina hiyo

Serikali ichikue nafasi na kumuwekea ndani.

XXXX

Com. Ibrahim Lethome Jambo la mwisho.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!