12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Tunawaomba ambao watakuta makosa au upungufu wowotewasiache kuturekebisha kwa sababu moja tu, <strong>Al</strong>-kamaalLillahi Wahdahu; na sisi ni wenye Takwsiri nyingi.Suala lilikua juu ya: Uongofu ni wa Mnyezi Munguau kiumbe? Bila shaka ni suala kubwa, la maana kabisa nalenye kumhusu kila mwenye akili, na alie mnyenyekevu kwaMola wake kikweli. Nina shauku nzito kutaka kuwashukuruwalowazia na kutaka darsa kama hizi tuzianzishe pale Ilalamtaa wa sadani, miongoni mwa kina Akh Fuad, SharifKarama na wote wahudhuriao Darsa hizo kila jumatano.Juhudi zao katika kuchapisha nuskha hizi ni yenyekushukuriwa ghaya. Mnyezi Mungu atawajazia na kuwapakila walitakalo katika ya kheri hapa Duniani ndani ya maishana kwa kesho yawmul Qiyama Insha <strong>Al</strong>lah hawatakuwakama ambao wataomlilia Mnyezi Mungu wakisema :-Qur an 20:125.“Yaa Rabi kwa nini (vipi tena) umenifufuakipofu hali nilikuwa na macho yangu?”.Waambiwe:- Qur an 20:126.“(Mungu) Atasema: “Ndiyo vivyo hivyo.Zilikuja Aya zetu ukazizahau, (ukazipuuza)na kadhalika leo utasahauliwa (utapuuzwa)”.Mnyezi Mungu anapenda kuombwa na anachukiaasipoombwa, Kwa hiyo, napitia tena kwa Bwana Mtumekumtaka rukhsa au yeye mwenyewe SAW achukue nafasi yakutuombea kwa jina lake A-lim na A-leem atufungue akilina kutuelimisha kwa njia ambayo tutamudu kua Wajaahid nawahitaji watu katika Dini yake-Islam.iv

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!