12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

DIBAJI.Tunamshukuru Mwenyeenzi Mungu kwa neema zakealizotuneemesha. Nazo ni nyingi sana kama alivyosema Subhanahu wa Taala katika Kurani Takatifu Surat Ibrahimkuwa:Qur an 14:34."Na Akakupeni kila mlichomuomba na (msichomuomba). Na Mkizihesabu neema za MwenyeenziMungu hamzidhibiti, hakika mtu ni mwenyekujidhulumu sana na kafiri sana”.Na akatiya mkazo wa hayo wakati aliposema katika Suratul<strong>Al</strong> Nahl:Qur an 16 :18“Na mkizihesabu neema za MwenyeeziMungu hamzidhibiti, hakika MwenyeenziMungu ni msamehevu sana na mrehemevu”.Katika neema zote alizotuneemesha Mola wetu hakunaneema kubwa nzuri na muhimu kama neema ya uongofu waImaan na Uislamu.Ni neema inayohusika na vitendo vilivyo vema hapaduniani na kulipwa na Mwenyeenzi Mungu siku ya malipokama ni matokeo ya vitendo vyema malipo mema zaidi.Amesema Mwenyeezi Mungu katika Kurani takatifu SuratIsrah.Qur an 17:15.vi

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!