12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

DIBAJI :"Anayeongoka basi anaongoka kwa nafsiyake mwenyewe na anayepotoka anapotokakwa hasara ya nafsi yake mwenyewe, walahatabeba mbebaji mzigo wa mwingine. Nasisi (Mwenyeezi Mungu) si wenye kuwaadhibu(viumbe) mpaka tuwapelekee mitume".Kwa hivyo basi Mwenyeenzi Mungu amejiona kuwaamewajibika kuwatuma Mitume na Manabii tofauti kwalengo la kumuamini, kumuabudu na kuwaongoza kwaMwenyeenzi Mungu aliyewaumba na atawarejesha tenakwake, na kuwalipa kila mmoja kwa aliyoyatenda. NaManabii na Mitume yote watakuwa mashahidi waMwenyeenzi Mungu kwa umma wao kwa kufikisha ujumbewake kwao. Amesema Mwenyeenzi Mungu katika Surat <strong>Al</strong>Nisai. Qur an: 4:41."Basi itakuwaje tutakapoleta shahidikutoka kilau umma na tutakuleta wewe(Muhammad) uwe shahidi juu ya huuumma wako".Uwongofu unatoka kwa Mwenyeenzi Mungu peke yake.Yeye ndiye anayeongoza, Manabii na Mitume ni wafikishajitu wa uwongofu huo. Sheikh Ahmad Sheikh amenukulukatika kitabu chake hiki ukurasa wa pili maneno yaMwenyeenzi Mungu katika Kurani Takatifu akimuambiyaMtume Muhammad SAW kuwa: Qur an 28:56vii

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!