12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

DIBAJI:"kwa hakika wewe huwezi kumuongoaumpendaye, lakini Mwenyezi Munguhumuongoa amtakaye, naye anawajuawaongokao".Na yeye Bwana Mtume Muhammad SAW katika hotubayake aliyeitowa katika Hija ya kuaga na iliyoitwa "Hotubaya kuaga" Imeitwa hotuba ya kuaga kwa sababu aliwaagaMaswahaba wake aliokuwa nao hapo kuwa karibuni ataiyagadunia. Na alikuwa mara kwa mara akitamka kuwa: "EweMola mimi nimefikisha basi shuhudia"Mwenyeenzi Mungu anawataka Waislamu woteulimwenguni kwa kuwa ameshawaongoza katika Dini yahaki na ya kweli, wazidi kumuomba duwa ya kuzidikuwaongoza kwa kun`gan`gania na kushikilia Dini hiyo nakufa nayo na kufufuliwa na kuhesabiwa na Dini hiyo.Wakati kila aliye Muislamu anapomuabudu MwenyeenziMungu katika ibada ya Swala na anaanza kwa kumsifia sifaanazostahiki, na halafu anamuomba kwa kusoma:Qur an 1:5-6."Tuongoze njia iliyonyooka, njia yawale ambao umewaneemesha juu yaousiyowaghadhibikia wala wasiyopotoka"Anayasoma hayo katika Surat (<strong>Al</strong> Faatiha) kila siku maratano, katika Swala za fardhi na mara nyinginezo katikaSwala za Sunna.Mwenyeenzi Mungu utuzidishiye uwongofu wa Diniviii

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!