30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Hawana utajiri kama ya hapa, na hii utajiri yetu ni ya bure. Kwa sababu wetu wanakaa, hawana chakula. Hata watu wengine

bwana Commissioner hapa, hawajakula breakfast, na tunasema heti United Government, serikali moja. Kwa hivyo mimi

nimesema hivi, tuwe na local authority, kama vile tulivyo na Chairman wetu hapa wa local authority; igawanywe local authority

kulingana na population. In Kenya we are about thirty million people. If you divide it by a hundred thousand, every

constituency itatoshelesha kuwa na local authority. Chairman akichaguliwa na wananchi na kuwe na clerk wawili. Mmoja awe

wa kuangalia development katika ile local authority. Mwingine awe administrative, achukuwe pahala pa DO. Kwa sababu,

mtu akienda State House, analeta ndugu zake. Anasema muende Kikuyu, wewe ni DO. Kwenda Murang’a, kwenda Nyeri,

hajui culture ya hao watu. Tulipigania uhuru kwa nini tusiwachague?

Kwa hivyo katika local authority, iwe na nguvu lakini igawanywe kulingana na vile mambo yalivyo. Juu ya kuchunga local

authority, lazima tuwe na regional assembly. Hatuwezi kuacha hiyo, kwa sababu hii miaka mia moja tumekuwa na PC, huezi

kuwaondo siku moja na bila kurudisha kitu kingine. Tunataka kuchaguliwe watu katika region moja. Na hizi region ziwe na

watu not less than three million, and not more than five million. If we multiplied kwa region saba, mtaona ya kwamba kila

region itakuwa ikipata pesa za kujisaidia.

Mimi ninataka kutaja haraka haraka, kwa sababu nimeweka memorandum. Nimesema, kuwe na Senate. Kukiwa na Senate,

igawanywe watu mia tatu. Three hundred thousand, divide by thirty million, kuwe na Senate one hundred. Kutoka hapa, tuwe

na house of Parliament. Nimesema, tuwe na watu mia tatu. Kenya igawanywe na wananchi. Na vile nilifanya research, juu ya

hiyo, nilijua ya kwamba, katika Northern Eastern wana wajumbe kumi, and their population is about nine hundred and sixty.

Kwa hivyo hakuna mtu atakaepoteza. Lakini wale walikuwa na watu wengi ndio wataongeza watu, kulingana na hiyo hesabu.

Nikitoka hapo, nikasema ya kwamba, tuwe na Prime Minister. Katika nchi nyingi kama India, Israel na nchi zingine, kuna

kuwa na ceremonial President. Kile chama kitakachoshinda, President anawambia, tengenezeni serikali. Kwa hivyo, hakuna

haja ya kuwa na President executive, na kuwa na Prime Minister kwa hivyo hiyo kazi itakuwa bure. Tungetaka nyapara awe

akisema ya kwamba, chama cha DP, Kanu, Safina mmeshinda, I give you 30 days mtengeneze serikali, msipoweza ondoka,

mwingine anaingia. Hapo itakuwa vizuri. Tena nikasema ya kwamba, President agawanye kazi yake kulingana na vile

nimeandika.

Nikasema mambo ya security. Najua security imekuwa mbaya sana, kwa sababu, wengine wanaposema mambo ya majimbo,

wanafikiria heti police people watakuwa wao, ama watafanya namna gani. Niliandika kwa memorandum nikasema, internal

security, nikasema kuwe na Commissioner mmoja wa polisi katika Kenya, lakini kuwe na deputy katika region moja, na ata-

report kwa Commissioner, sio kwa watu wa ile region, lakini wana report kwa huyo mkubwa.

Kutoka hapa, tuwe na local authority. Katika Kikuyu kwa mfano ikiwa ni one hundred thousand, kuwe na office ya mkubwa

wa polisi. Kutoka hapa, kuwe na OCS kwa sababu, sisi bwana Commissioner, tumedhulumiwa sana. Ukiangalia katika

10

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!