30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

igicenjio no njurie mbiacara ikoruo i ndugamirire ni thirikari.

Translator: Ningeuliza kwamba tukifika hali ya biashara, serikali iangalie licence, na jambo hili lingine biashara ziwe

zikisimamiwa na serikali.

Stephen Ngari: Ni kuri na undu ungi ngwenda kuga,

Translator: Kuna jambo lingine nitasema.

Stephen Ngari: Nii wa mbere ithui turi Agikuyu,

Translator: Sisi wa kwanza ni Wakikuyu,

Stephen Ngari: na mahindaini maria turi ma umuthi, mutugo wa atumia ni gukorwo agikira nguo iria ndaya,

Translator: mimi nitasema katika desturi yetu, sisi ni Wakikuyu, nitasema mtindo ya wanawake ni kuvaa mavazi marefu.

Stephen Ngari: Kwa uguo nii hakwa ni nguria gatiba inuo iracenjio ihure marufuku mibuto.

Translator: Ningeuliza hii Katiba inaandikwa upia, habari ya kuvaa trousers kwa wanawake ifutiliwe mbali,

Stephen Ngari: Gitumi ni undu mwana niagwikira mibuto,

Translator: Maana mtoto atavaa trousers,

Stephen Ngari: na miikarire yake ikarehera ithe thoni hindi riria me hau.

Translator: na katika maisha ya kukaa, inaleta aibu kwa mzazi wake.

Stephen Ngari: Undu uria ungi,

Translator: Jambo lingine,

Stephen Ngari: andu aria makoretwo me thiinii wa mahindaini maya,

Translator: watu wale wako katiko huu ukoo,

Stephen Ngari: nikuri andu aingi makoretwo matunyanite migunda ya andu ya muingi,

Translator: kuna wale wamenyakua mashamba ya wananchi,

Stephen Ngari: na korwo ni kuhoteke gatiba iyo iracenjio mahindaini maya irore uhoro ucio,

Translator: ikiwezekana hii Katiba inayowekwa sasa iangalie hayo mambo,

Stephen Ngari: na andu acio merwo macokie indo icio cia muingi.

79

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!