30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Francis Kairu: Ringi ona ingika harambee na ndiri na andu aingi manjui tundu ndiri na uhoti,

Translator: Nikifanya harambee, na mimi sina watu wengi ambao wananijua, kwa vile mimi maskini.

Francis Kairu: kwoguo korwo no kuhoteke Constitution iria iguthundekwo, githomo gikorwo gi gia tuhu, thirikari ikorwo

niyo igukua jukumu iyo.

Translator: Ikiwezekana serikali elimu ikuwe ya bure na serikali pia ichukuwe jukumu hilo.

Francis Kairu: Nigetha mwana onakorwo aciari ake matiri na hinya na ni araigua githomo ni akuhota guthii nginya akinye

university.

Translator: Kama mtoto atakuwa mwerevu, na wazazi hawana uwezo, atasoma hata kuendelea university.

Francis Kairu: Mwana ucio ona riria akarikia githomo kiu, ndagoka guteithia muciari wake ari o wiki.

Translator: Na itakuwa wakati yule mtoto atakae hitimu masomoni yake, hatasaidia tu wazazi wake peke yao.

Francis Kairu: Agoka guteithia community tondu angikorwo ni ndagitari kana ni lawyer, andu acio, community, a area iria ari

nio agakorwo agiteithia. Kwguo mundu ndagakorwo ari wa muciari, agakorwo e wa community.

Translator: Yule mtoto anaonekana akimaliza akifaulu, atakuja kusaidia community ya area yake na hata nchi kwa jumula.

Francis Kairu: Kwguo thirikari korwo no kuhoteke niyo yagiriirwo ni gukua thiina ucio wothe no ti muciari.

Translator: Lakini ikiwezekana serikali inafaa kubeba ile mzigo sio mzazi peke yake.

Francis Kairu: Nigetha muciari angikorwo ndari na hinya, mwana wake ndakae gutigwo na thutha ni undu wa kwaga hinya.

Translator: Ili kama mtoto, ama mzazi hana uwezo, asiachwe nyuma kwa ajili ya shida.

Francis Kairu: Uguo noguo nyuma na guo.

Translator: Hiyo ndio nilikuwa tu nayo, asante. Sign hapa.

Com. Wambua: Asante sana Francis Kairu. Watatu atakuwa ni, Lay Cannon Gideon Numa.

Gideon Numa: Kwa majina ni Lay Cannon Gideon Numa, na mii ni mkaaji wa Kikuyu, tena kazi yangu ni ya biashara na

ukulima, na tena ni mzee wa kanisa. Mimi ningeuliza commission, kwa sababu nimeandika kwa memorandum, badala ya

kunipa dakika tano, iwe kumi, kwa sababu ningependa kueleza kidogo. Tena mimi ni mzee kidogo, ikiwezekana. Mimi nataka

kuzungumuza juu ya Katiba mpya, na nita taja kidogo, historia kidogo, ya kwamba katika nchi hii, ilitawaliwa na Waingereza,

mwaka wa 1896, na walikaa miaka 67. Halafu tukawa na serikali yetu ya KANU, ikiongozwa na Kenyatta. Wakati Kenyatta

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!