30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

one. Paul Karimi hayuko? Wilson Gichinga. Francis Mbuya yuko? Peter Ndirangu?

Peter Ndirangu: Jina langu ni Peter Ndirangu, I am a technician, na nimetoka hapa Wangige. Jambo lile ningetaka kuongea

habari yake, au mambo mengi ningetaka kusema; kile nilikuwa nimeandika kimeshatajwa; kwa hivyo sina haja ya kurudia. I

will mix both languages.

What I have in mind is that the Constitution we have, hatukuako tumeielewa. Kwa hivyo hii Constitution ilikuwa inabadilishwa

hapa na pale, na hatujui. Kwa hivyo we are asking the Commissioners, if we have got to have the Constitution we want to

make, lazima Constitution iwe itafunzwa. Civic education should continue even after implementation, in our schools, and even

to all the institutions. Mambo ya distribution of our local resources should be looked after; kwa sababu pesa zile zote ambazo

zinachukuliwa kutoka local councils zetu, they are transferred to some other local councils. Kwa hivyo inawacha local council

zetu zikiwa na shida; kwa hivyo lazima pesa ambazo tunatoa, ziwe zinahudumia wale ambao wametoa hizo pesa. So as to be

able to create employment to our people.

The other thing is to safeguard our people against substandard goods. As a technician, najua kuna vitu vingi, ambazo

zimerundikwa hapa. So many things have been landed here, which do not care for us at all. Kwa hivyo inatakikana, na

ingewezekana, serikali yetu itulinde sana kwa substandard goods. The Bureau of Standard pia lazima ifanye kazi yake. We

have got so many goods that are produced, which do not meet our requirements at all. Kwa hivyo, lazima Bureau of

Standards, ifanye kazi yake vilivyo.

The other thing is to finance the political parties. Tunazo vyama ambazo zimeandikishwa, chama ambazo nyingi zao zina

umuhimu wake, lakini when we come to the election period; wanaambiwa wakae kivyao. Kanu inafanya mambo yake, and we

know Kanu government ndio imekuwa na serikali, kwa hivyo watu wao ndio wako na pesa. Kwa hivyo tungetaka, even in the

next general elections, wawe financed. Political parties zetu, kama Democratic Party na zingine ambazo zina umuhimu wake,

zipewe pesa na serikali.

Mambo ya akina chief: Hii mambo imezungumzwa, and if the institution of the chief has got to be there, lazima yule mtu ambae

atachaguliwa; awe elected by the people it has been said, ni lazima mtu ambae ameelimika. Nimeangalia kama mwananchi wa

hapa, infact since the time of Dedan, our senior chief by that particular time. Zile baraza ambazo tunaitwa hapa, tunaitwa baraza

tu wakati kuna shida. Our chiefs, we are lucky to have our MP hapa. Hatuitwi baraza to be sensitized na mambo ambayo

inatuhusu sisi. Wakati tunapata shida, wakati pombe imekunyiwa, wakati kumeibiwa, huo ndio wakati chief anaita baraza zake.

We want if that particular institution has got to remain, lazima wawe wakiita mabaraza ndio tuwe tukijua tunafanya nini.

Mambo ya kanisa pia iliongewa. Nimekuwa mshiriki kabisa, na kwa sababu hatujui yale madini ambayo yameandikiswha siku

hizi, they are so many, na kwa hivyo inatakikana ipunguzwe, ndio tuwe na makanisa ambayo inatakikana. Thank you.

29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!