30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

above Parliament. May be one way of dealing with this is through a coalition government. That way, we shall be able to have

two or three parties controlling the government, instead of one party having a monopoly of every other organ of the government.

So, that is all I have to say, thank you very much.

Com. Wambua: Asante sana, tafadhali Bwana Lucas saa hii yuko? Ningependa kutaja ya kwamba sasa wale

wamejiandikisha mpaka wa sasa ni mia moja, na bado wanaendelea kuongezeka. Kwa hivyo tumeonelea ya kwamba; kama

tutasikiza kila mtu, lazima tupunguze muda wa kuzungumzia maoni yenu. Kwa hivyo watakao kuwa na memorandum, ama

maandishi tutawapatia dakika tatu. Wale ambao watazungumza bila maandishi, tutawapatia dakika tano. Na kama mtu

amezungumzia jambo fulani, hakuna haja ya kurudia, utaje. Maanake tayari tume record. Kwa hivyo utaje tu, unasupport kitu

fulani, basi hiyo itatosha. Kwa hivyo usirudie tena kueleza maanake tayari tumeshaa pokea hayo maoni asanti. Timekeeper

atafanya kazi yake sasa. Tulikuwa tunajaribu, na watu kumi wa kwanza na tukisikiza kwa dakika tano tano, na kumi

hatutamaliza. Kwa hivyo sasa tutaanza na 3 minutes na 5 minutes. Timekeeper atakuwa strict. Kwa hivyo ukiamuriwa utoke

hapo tafadhali utoke. Tutamuita James G. Njuguna. 3 minutes tafadhali, kama uko na memorandum 3 minutes, kama huna ni 5

minutes.

James Gitema: Nii ngwaria na Gikuyu tundu ndiri fluent na Githungu kana Githweri. Ona ni munyaka kurugama mbere ya

andu aya, ndiri ndarugama mbere ya andu ta aya. Maritwa makwa njitagwo James Gitema na nyumite Gathiga.

Translator: Majina yangu ni James Gitema, kutoka Gathiga.

James Gitema: Ndiroka gwi commission kumera item ici igiri tu,

Translator: Nakuja kwa commission kuwambia mijadala miwili tu.

James Gitema: Judges,

Translator: Majaji,

James Gitema: na junior ciao,

Translator: na wadogo wake,

James Gitema: nii ingi-recommend kana ingiuria makoragwo me public appointees through Parliament.

Translator: ningeuliza wawe wakichaguliwa na watu wananchi.

James Gitema: Ndirauga uguo tondu ndi victim.

Translator: Nasema hivyo kwa maana, mimi nimeshiriki katika mambo haya.

James Gitema: Ndioi mbere iyo kana watho niguo utwaraguo thiini wa magotini.

20

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!