constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
to see you yesterday and I think this is a good team. Thank you very much.

Com. Wambua: Asante sana Bwana Kirirou, sasa tumeingia wakati wa kuanza kupokea maoni, na kwanza nilikuwa nataka

niwaelezee machache; kuhusu utaratibu ambao tutafwata kama Commissioners. Kwanza tunatakiwa kujua ya kwamba, kikao

hiki kinatakiwa kianze saa mbili, mpaka saa kumi na mbili jioni, kwa hivyo wakati wowote ule watu watakapo fika, kabla ya

saa kumi na mbili, tutapokea maoni yao. Mtu anaweza kutoa maoni yake binafsi, ama atoe maoni ya kikundi ambacho kime

kuja kuwakilisha hapa. Lakini tunatakiwa kwanza tujiandikishe kwa form ambayo iko kwa mlango pale, halafu ikiwa umeandika

maoni yako kama ni maandishi, utatoa maoni ile umeandika, ndio tunaita memorandum, basi kumaliza tu kuongea kwa muda

ambao tutakupatia; utaweka sahihi pande ile, halafu uandikishe memorandum. Halafu ukiwa utatoa maandishi, tutakupitia

dakika tano, na ikiwa utazungumza bila kutoa mandishi, tutakupatia dakika kumi. Lakini ikiwa watu watazidi, wawe wengi,

kwa sasa nafikiria tuko na wangapi?

(Interjection) – 40

Com. Wambua: Tuko na arubaine. Tukizidi pengine huo muda tutaupunguza ndio tupate nafasi ya kusikia maoni ya kila moja

wenu.

Unaweza kuongea kwa lugha ya Kimombo ama KiSwahili, ukiwa una shida kutumia Kimombo ama Kiswahili, pengine

unaweza hata kutumia Kikuyu. Halafu tutatafsiri. Kuna mtu wa kutafsiri, halafu tutaandika maoni yako. Na jambo lingine nataka

kutaja ni kuhusu hatua ambazo zitafikia kabla hatujapata Katiba mpya. Hayo pengine ni mambo ambayo tumezungumziwa

wakati Commissioners wamekuja hapa kuwatembelea. Lakini mjue kwamba sisi kama Tume, ni kiungo kimoja tu, cha

kuchukuwa maoni, ama kutengeneza Katiba. Kuna Constitution Forum, kuna National Constitutional Conference, ambayo ni

kikao cha kitaifa, na kuna bunge.

Tukichukuwa maoni kama tume, tutasikia maoni halafu tutatengeneza reporti ambayo itazungumziwa na wananchi katika mikoa

kwa siku sitini. Halafu, sheria inasema kwamba, baada ya kujadiliwa, hiyo repoti itapelekwa katika kikao cha kimataifa, that is

the National Constitutional Conference. Huko kutakuwa na majadiliano zaidi, na tukifikia, wale citizens watakaokua huko, basi

pengine Katiba itaundwa hapo.

Halafu, wakisha maliza, hiyo report itapelekwa Bunge, na Bunge itajadili, na irekebishe Katiba mpya ya Kenya. Kuna

Constitutional Forum, ambacho ni kikao cha wakazi wote wa eneo la Bunge, na hiki ni cha muhimu manake, eneo la Bunge

ndiyo primary organ, kwa hii process ambao ni ya kurekebisha Katiba. Ndiyo mnaona kama Commissioners wanazuru

constituencies, sio kwa districts. Kwa hivyo kikao cha constituencies ni kikao free, na kuna kamati ambayo tayari inahusika na

kuwatayarisha kupeana maoni. Katika eneo la Bunge, kamati ya sehemu hii, ndiyo itasimamiwa na Bw. Kiriro. Kwa hivyo

hayo ni machache, kuwaelezea jinsi itakavyo endelea; kuhakikisha kwamba, hapo baadaye tutakuwa na Katiba mpya. Kwanza

nitapokea maoni ya wananchi, halafu sisi kama Tume tutatengeneza repoti, na hiyo repoti itarejea wananchi tena, waijadili zaidi,

5