30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

halafu baadaye kutakuwa ni kikao cha kitaifa; ambapo hiyo reporti itajadiliwa zaidi. Kwa hivyo tumekuwa na nafasi ya

wananchi, mtakuwa na reporti yenyewe kuhakikisha kwamba maoni ambayo wamepeana kweli, yamewekwa katika hiyo

report. Na kwa hayo machache, nafikiria ni vizuri muanze, na wale ambao walifika kwanza ndio watakao anza. Lakini kukiwa

kuna sababu fulani, ambayo itahitaji mtu fulani kuanza, basi tutawaeleza kumekuwa aje. Kwa kuwa sasa watu wanaendelea

kuwa wengi, ni vizuri tuanze wakati huu. Na wakwanza kujiandikisha alikuwa ni Gacheru Kahiro. Gachero, ukija hapa basi

utatueleza jina lako, kazi ambayo unafanya, halafu unaweza kuongea na muda ambao umepewa, kama huna memorandum ni

dakika kumi, kama uko na memorundum, ni tano. Halafu ukisha maliza, jiandikishe huko. Thank you very much.

Gacheru Kahiro: Kwa majina mi naitwa Gacheru Kahiro na nimetoka Nyathuna Location, upande wa Gathiga. Nimekuja

hapa, kusimamia kundi la Release Political Prisoners, ambao wanapigania haki za kibinadamu. Yangu sitasema mengi sana, na

hasa ile mambo nataka kuongea juu yake, ni vile tulisumbuliwa sana na askari. Wanakuja unashika mtu bila makosa, badala ya

kumpeleka kortini, wanaenda wanakueka kwa cell. Wakikuweka kwa cell, badala ya kukupeleka kortini, Ile kitu wanafanya

sana ni kuitisha pesa ambazo hazina maana. Ukipeleka pesa ndio unaachiliwa, na hiyo mambo hatutaki. Tungetaka kusema ya

kwamba, sisi kama Wakenya, mtu akishikwa, akipelekwa kwa cell asikae kwa cell. Iwe ile siku nyingi sana ambazo anaweza

kaa, iwe ni siku tatu na ikizidi hapo, kwa sababu akiwekwa kwa cell, hapo ndipo wanasumbuliwa. Cell zetu zenyewe ni mbaya

sana, mtu anapigwa, anateswa na wanamsumbua tu. Kwa hivyo tungetaka kusema ya kwamba, sisi mtu akishikwa apelekwe

cell, kutoka kwa cell asikae, apelekwe kortini. Hata kortini pia asikae. Unaona ya kwamba watu wakipelekwa kortini,

wanakaa muda mrefu sana, unatolewa kwa cell unarudishwa, unakaa remand, hata watu wengi sana wamekufa huko kwa

remand. Sasa hilo ni jambo moja ambalo, tungetaka hiyo commission ya Constitution iangalie sana.

Pia, tungetaka kusema ya kwamba, Judiciary ya Kenya, ni mbaya sana, kwa sababu ile kitu wanafanya; tuseme mtu

ameshikwa, badala ya kupelekwa kortini, na hiyo kesi kumalizika haraka, akikaa huko, yule mtu ambae alikuwa amemshika,

tuseme mtu fulani amekulpeleka kwa askari umeshikwa na umepelekwa huko kortini, anapeana pesa, unakaa huko,

usumbuliwe huko tu bila sababu yeyote. Kwa hivyo Judiciary ya Kenya iwe independent, hiyo ni kitu ya kwanza. Watu

wasikae kwa cell. Korti yenyewe iharakishe; kusumbuliwa na askari tunakataa hiyo.

Hiyo ingine, kuna watu ambao hatutaki kwa serikali, hao watu tunaita Provincial Administrators, DCs na hawa watu wote,

mpaka chief. Kwa sababu hawafanyi kazi ambayo inasaidia raiya. Wana usumbuwa watu tu, hongo, ambapo sisi wa Kenya

hata watu wengi hawana kazi. Kwa sababu ukishikwa unapelekwa huko, ile pesa wanakuitisha hata huwezi pata. Ndio

sababu unakaa kwa remand muda mrefu sana. Kwa hivyo administration hatutaki, haitusaidii hata kidogo.

Hiyo ingine tungetaka kusema ni mambo ya serikali. Tungetaka kusema tupewa Government of National Unity, and have

preferably three political parties. Hiyo ingine ni equal equal distribution of national resources. Hiyo ingine Presidential powers

should be reduced, and the President should not be above the law.

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!