30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Wambua: Asante sana Gacheru, atakae fuata ni Francis G. Kairu.

Francis Kairu: Mimi nitazungumza kwa Kikikuyu. Ningwandikite hau nu ndiri undu ati ngubangite ati nguka kwaria nu ni

ngwaria kaundu kanini, tundu kaundu karia nii ingigweta ni thiinii wa Constitution inu iguthundikwo.

Translator: Ile mambo nitasema, ni vile hii Constitution itatengenezwa.

Francis Kairu: Uria nguga,

Translator: Vile nitasema,

Francis Kairu: hau ngwandikite hatiri undu nguheyana,

Translator: hapo hakuna kitu napeana,

Francis Kairu: nu ninguga ati,

Translator: lakini nitasema ya kwamba,

Francis Kairu: Constitution iria tuguthondeka,

Translator: ile Katiba tutakae tengeneza,

Francis Kairu: ati kungihoteteka githumu nikyo muno hatiri handu haritio, tungyenda hekirwo ho.

Translator: Ikiwezekana sana, masomo yawekwe pale, ama karo.

Francis Kairu: tundu riu aciari aingi aria turi nao guku bururini mena uritu muneno muno makiriha cukuru.

Translator: Maana wazazi wako na shida nyingi sana kulipa karo.

Francis Kairu: Kungihoteteka tariu angikorwo mwana wakwa ni araigua githomo na ndiri na uhoti ucio,

Translator: Ikiwezekana mtoto wangu ni mwerevu na mimi sina uwezo wa kumsomesha,

Francis Kairu: Kiria ngwirwo ni njike harambee,

Translator: Na ile kitu itatokea ni ufanyishwe harambee,

Francis Kairu: kana heo bursary.

Translator: ama nipatiwe bursery.

Francis Kairu: Na ringi nyamu icio ciothe ndigihota.

Translator: Na hiyo yote siwezani nayo.

7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!