30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

constituency ya Kabete, kuna police station moja. Ukiangalia kama kule kwa Wazungu, Westlands Constituency, kuna police

station tano. Ni kwa nini na tumekuwa na uhuru? Ukiangalia Kilimani, ukiangalia Langata, every constituency, they have five

police stations, na hapa hakuna mtu anatufikiria. Tunaambiwa nendeni mkae na police station moja, shauri yenyu. Kwa hivyo

tungetaka kugawiwa polisi, kulingana na population.

Nikasema ya kwamba, katika location, iwe kazi ikifanywa na chief. Kuwe na wazee kumi na wawili, na kuwe na police station

pale. Hawa wazee watakuwa wakizungumza na police station. Hakuna haja ya kumleta chief, kwa sababu hakuchaguliwa, na

wale polisi wamesomea Kiganjo, they knew the Constitution ya nchi. Akiletewa mambo na mzee anawambia mzee,

singemshika huyo mto kulingana na Constitution namba fulani. Wale askari wanakaa na chief, hata hawajui Constitution ni nini.

Hata hawajui law ni nini. Tumejitawala nini?

Kwa hivyo nikimalizia nataka kusema, nilipokuwa nikifanya research juu ya region, nikaona ya kwamba, ni lazima tuwe na watu

wa kuangalia local authority, na ni lazima tuseme ya kwamba, tuwe na region saba. Tunaanzia na Coast Province. Nikaona ya

kwamba ina watu wengi wangekuwa 4.7 million. Tunaweka Coast Province, Northern Eastern Province, Makueni, na Kitui na

Mwingi, inakuwa million moja. (Can you see page 12) Tukienda katika Nairobi region, tunasema Nairobi, Machakos,

Kajiado, Kiambu, Thika upper Makueni. Kwa hivyo Nairobi haiwezi kukua, bila kuwa na Kiambu na Machakos na Kajiado.

Kwa hivyo tukitaka city yetu iendelee, lazima hizo districts ziwe pamoja. Tunaenda Mount Kenya region. Tunasema Nyeri,

Kirinyaga, Meru, Embu, Isiolo, Marsabit, Murang’a and Moyale. Wanakuwa 4.2 million.

Hivyo ni kusema ya kwamba mavuno yatakayo patikana kutoka Meru, Nyeri kwa Kahawa, inasaidia watu watu wa Isiolo na

Marsabit, na sisi tumekuwa tukiwasaidia; kwa sababu watu wengi wamesoma katika Marsabit. Pesa zimetoka hapa kwetu, sisi

ndio tuliwasomesha, kama Anglican Church, na kwa hivyo ingekuwa vizuri hivi (ninabakisha tu dakika moja). Rift Valley,

Southern Rift Valley, nasema tuwe na Samburu, Laikipia, Nakuru, Nyandarwa, Kisii Gucha, Narok, Bomet and TransMara.

Wanakuwa million tatu. Rift Valley North, Baringo, UasinGishu, Nandi, ElgeyoMarakwet, TransnZoia, Koibatek,... district na

West Pokot, Turkana, Kericho, they are about four million. Nyanza province, wawe Wakisii na Luo Nyanza 3.9 million.

Tuende katika Western Kenya, they are about 3.3 Million. In summary watu wote wanakuwa 2.8 million. Kwa hivyo, mimi

ningesema ya kwamba, asante sana kwa Chairman kunipa dakika kidogo, lakini nataka kuwauliza, hii Constitution iishe mbele

ya elections. Kwa hivyo sisi tumeumia sana. Kuenda kwa elections bila Constitution mpya, itakuwa ni kazi ya bure. kwa

sababu kila mtu anataka kwenda State House. Anyakuwe yale mashamba yamebaki, ndio wanataka. Sasa, ata choo

wemeuza, wameuza hata barabara, na tena tuende kwa elections na ile Constitution. Hata DP, hata chama kingine, kikipenda

kwenda na Constitution hii, ili wajigawie kwa sababu tuliwafanyia campaign. Kwa hivyo, tunataka tuwe na Constitution yetu,

na hatutaki Constitution ya kumuondoa mtu. Tuanataka Constitution ya kutawala nchi yetu kwa njia ya haki. Kwa sababu

kulingana na vile nimesema miaka yangu. Taabu katika Kenya, sio Moi ama mtu mwingine. Lakini katika hii, Constitution,

inasema President ndio mkubwa wa kahawa, hata choo ikijengwa yeye ndiye atato amri. Hata nini ikifanyika yeye ndiye

atasema. Kwa hivyo, tunataka wakienda, tuwe na Constitution yetu. (clapping)

11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!