constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mambo ya Katiba: Katiba isikuje kuwekwo kama vile wengine wamesema hapa. Isikuje kuwekwa chini ya drawer. Hata

hapa vile tunakuja kupeleka hapa Katiba, hatujui Katiba ile ilikuwepo, ama ile iko kwa wakati huu. Kwa hivyo tunataka Katiba

hii yetu iletwe, tuwe tunaisoma, na inafundishwa hata kwa mashule.

Vyama vile vimeandikishwa, wakati wanakuja kulete views zao. Wasiwe wanapatiwe umuhimu kuliko sisi raiya. Kwa sababu

hii Katiba sio ya party, ni yetu. Kwa hivyo hata kama chama iko kubwa namna gani, isikuje kupatiwa umuhimu, kuliko sisi

wenyewe. Katiba ile iko kwa wakati huu. Itumiwe kikamilifu 100%, bila kutumia mambo ya kabila yangu, bila kutumia huyu

mtu ni wangu, na hili hafai kufungwa, kwa sababu yeye ni mtu wangu hata kama ako na makosa.

Masomo iwe free, hiyo yote imetajwa. Hata mambo ya health yote imetajwa. Mambo iwe free, yote imetajwa. Asanteni.

Com. Wambua: Asante sansa Bwana Chege. Tutamuita G. N. Mburu. Hayuko? Tutamuita Bwana Gatuguta. Bwana

Gatuguta ni kama aliongea jana, kwa hivyo wawili tutawatoa. Halafu tumuite Judy W. Gitau. A. Njonjo, yuko? Hayuko. J.

Njonjo. Hayuko. Solomon Kamau.

Solomon Kamau: Mine will be brief, I recommend that the Presidential powers should be trimmed, as the President has the

tendancy of making hasty and abrupt decisions; which you can call decisions made at the spur of the moment. The President

should not be a member of Parliament, but should belong to a registered political party. The administration police should be

merged with the regular police, and the security docket should be de-tached from the office of the President. The quota system

in education and administration, should be abolished and pave way for the best brains to win. On the Judiciary, the Judiciary

should be freed from any manuplation from the executive, by giving them a tenure of office. Members of the Judiciary should

be elected in Parliament through merit.

On elections, the Electoral Commission should be an independent body, and should make the voter registration exercise a

continous thing. The Commissioners should provide two days for elections. The first day being for Presidential elections, and

the next day for MPs and their local Councils. Mine will be brief, I am through.

Com. Wambua: Asante sana Solomon Kamau. Tutamuita George Kanja Gitugo. Hayuko? Johnson Mbugua. He spoke

yesterday, I thougt so. Tutawapatia nafasi wengine asante sana Bwana Mbugua. Tutamuita, Kironyo Gathungu.

Kironyo Gathungu: Good afternoon. I will speak in English my name is Kironyo Gathungu, I am 20 years old and I am a

student. I come from Mwimuto Village, and what I have to say has actually been said by a lot of people, all I have do is to

confirm; and if possible make some rectifications.

First of all, I would like to speak about the system of government. I would like to see this provision being entrenched in the

52