30.01.2013 Views

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

fulani, ama ilikuwa na viini fulani ya kudhuru afya yetu. Huyo mtu kwa sababu ni tajiri fulani na anajulikana ni wakuu wetu wa

serikali, hakuchukuliwa hatua yeyote. Kwa hivyo ikiwa sheria kama hiyo iko, yakutochukua hatua, tungetaka iondolewe mbali,

tuwekewe ile sheria mtu yeyote hata akiwa ni nani, hata akiwa ni Rais wetu, ama mdogo wake, akifanya kosa fulani, tunataka

tusikie yeye ako kortini kama vile nchi zile zingine zinaendela na zinajifunia ya kuwa iko na democracy; kama vile sisi tunajivunia

tuko na democracy. Kwa hivyo hapa upande wa Constitution, nataka wawe waangalifu. Hiyo ingine ni ya upande wa sheria

kama hiyo. Tungetaka tuwape hawa watu wetu wana sheria, hawa wameelimika, tuwape sheria fulani ya kuchukulia mtu kama

huyo hatua, ikiwa kwa upande mwingine, ama serikali imekosa, awe hiyo tume ya sheria iwe ikichunguza maneno hayo.

Ya pili, tukitaka hata hii tume yetu iwe ikisaidia serikali upande huo wa corruption, kwa sababu huo ni ugonjwa fulani. Ni

ugonjwa mbaya sana. Unadhuru afya yetu, na unaenda kuangusha serikali yetu. Ni hayo tu nilikuwa nimetarajia kuitaja kwa

wakati huu, kwa sababu mengi yame pita na siwezi kutaja. Asanteni

Com. Wambua: Asanti sana Bwana Njuguna. Nitamuita Kibugi Robert.

Kibugi Robert: Habari zenu nyote. Nitatumia lugha ya Kizungu ndio niweze kutaja yote nimeandika, na ndio niweze kuongea

haraka.

The first thing that we should address is the type of constituion we want, and why we want a Constitution in the first place; and I

do suggest that we put it at the bottom line, that we want the Constitution to address the issues affecting Kenyans, and not a

Constitution targeting individuals. Tusiseme ya kwamba hatutaki raisi kwa sababu raisi ni Moi, na akiwa Kibaki tutamtaka na

Katiba ilioko.

The other issues, that have been named, for example the number of ministries that we should have in Kenya, should be specified

in the Constitution by name and in number; to prevent Ministers being appointed from various regions for political reasons.

Ministers should not necessarily be members of Parliament. The number of Assistant Minister should be specified with specific

functions. Holders of Constitutional or key public offices, should be vetted by Parliament, and that should include Judges of our

courts. Parliamnet should be given power to impeach the President and even in some cases ministers. There are some powers

that are given to the President of Kenya, for example under sections like 24 and 25, to create and abolish public offices. To

hire and fire public officers, the President is given power to do that at his own will. I think that power should be abolished

totally and that power left to the Public Service Commission, with approval of Parliament.

Also the requirement of a 25% majority in elections for a Presidential candidate, in five out of eight provinces should be done

away with, and replaced with someone garnering about 51% or more, in all provinces that is of the total votes count cast in

Kenya.

47

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!