constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
tu-kawithdraw pesa hizi. Jambo ambalo lingine tungependa kuwafahamisha, ni juu ya hii misaada ambayo inatoka ngambo. I

don’t know why the chiefs should be involved in this donations as if we are not in a position to get them from the main donors.

So, kama ikiwezekana hawa donors ambao wanatupatia misaada, ingefaa watupe moja, kwa moja badala ya wapite kwenye

machiefs, ama ka Ministry of Culture and Social Services.

Lile ambalo ningetaka kugusia kidogo tena, ni kuhusu land. Ningetaka ile Constitution ambayo itaandikwa, iwe maintained 10

years ambayo mtu anafaa kuwa amekalia kwenye shamba iwe maintained, lakini amendment ifanyiwe kwa wale ambao

wanapewa mashamba ni sio wenye mashamba wenyewe. Yaani kama vile squatters. Kuna ambao wanapewa shamba, lakina

hizo shamba hawapewi kwa njia ilio halali, na baada ya kumaliza miaka kumi hivi, unasikia eti wako legalized kupewa hiyo

mashamba. Hiyo ingefaa iyondolewe kabisa. Tena kama nyumba za kukodishwa, kuna wakati mwingine tunasikia ati mutu

akimaliza miaka kumi hivi, anatakiwa awe ni mwenye hiyo nyumba kamili, na hali yeye ni kuja ali kuja tu kuishi kwenye hiyo

nyumba. Hiyo ingefaa iondolewe mara moja. Sina mengi ya kusema, kwa sababu yale ambayo nilikuwa nikitaka kutaja ya

Presidental powers tayari yamesemwa, na ningetaka kuwashukuru kwa kunisikiza, na kunipatia hii nafasi asanteni.

Com. Wambua: Asante sana. Michael Kimani? John Kinuthia? James Kariuki?

James Kariuki: Majina yangu naitwa James Kariuki. Mimi nimetoka hapa Kabete. Kuna mambo machache tu ningetaka

kusema, kuongeza kwa hayo, watu wamesema,

Jambo la kwanza, ni ile ya President. Ningependa ile amri inasema President awe above the law, iondolewe kabisa. Kwa

sababu taabu ambayo inaingia, ni vile ati President anaweza kufanya chochote, na mambo iharibike kabisa, na hakuna mtu

anaweza kuuliza swahili, na hata hakuna kitu kinaweza fanyika. Kwa hivyo mimi yangu ya kwanza, we want a President who

will serve the people, and who will be liable to prosecution incase of any mistake or incase of anything bad he does to the

people.

Ya pili ningeuliza kuwa na accountability katika pesa ya serikali. Kwa sababu we are paying a very high tax, na sana sana

hatuna kile tunaona kinafanywa. Kwa sababu ukiangalia barabara, iko na pot holes, masomo, watoto hawapati masomo.

Kama wewe unatoka in a poor family, hakuna masomo unapata, kwa hivyo tungesema, pesa iwe strictly followed, ndio iweze

kutimiza ile mambo inafaa itimizie watu. Kwa sababu kwa kila kitu, tuna pay tax, na hiyo pesa hatuoni kile kinafanyika kwa

hiyo pesa. It is going to some people’s pockets, without going to the public, to do what it is supposed to be done.

Ningesema term ya President, iwe ni two terms. Iwe three years two terms, without going any further. Ile ingine ningesema,

tungependa President ambae ako na afya, na yule mafikra yako iko sawa sawa. Kwa hiyo ningesema, President asiwe above

70 years. He must be from 35 years to 70 years but not beyond. Ile ingine ningesema, ningeomba serikali ipatie watoto wote

wa primary school from Std. 1 to Std. 8, free education. I believe the tax we are collecting. the government is able to do that

69